kiwanda hiki kipo kilimanjaro(w)Hai,chini ya PSRC ni miaka mingi hakizalishi na hakuna anayewajibika walau kutaka kujua nini? Kinaendelea, wakati kilikuwa mkombozi wa wanahai ambao wanaeneo dogo...
Ni imani yangu kuwa mtakubaliana na mimi kuwa Star Times hawana jipya na kuwa chaneli zao zinaboa ile mbaya! Ni mwezi wa tatu huu sijanunua vocha, infact nafikiria kununua dish. Ushauri wangu ni...
Na Danson Kaijage,
Chamwino
MBUZI wa ajabu amezaliwa
katika mkesha wa kuamkia
mwaka mpya 2012 akiwa na
miguu minane na mikia
miwili. Mnyama huyo wa ajabu
alizaliwa katika kijiji cha...
Jamani kila nikihesabu kuanzia mwaka 1961 naona jana ndo tumekamilisha miaka 49 tangu tupate uhuru na leo trh 10 ndo tumeuanza mwaka wa 50 tangu tuwe huru,sasa tunasherehekea kipi? Au mi ndo sijui...
Nilitegemea baada ya serikali kutoa kandarasi ya kuingiza mafuta mengi kwa kampuni moja basi watumiaji wa nishati hiyo tungepata ahueni kidogo...lakini imekuwa kinyume baada ya shehena hiyo kufika...
In a dramatic move aimed at ending the ghost worker syndrome, the government has directed all civil servants to report to their respective duty stations and collect cheques for their January 2012...
"Aliyekuwa spika wa bunge ambae alimaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae inasadikika ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kukwapua...
Nipo ndani ya basi natokea Mbeya,maeneo ya Ifunda tumeshuhudia gari moja dogo limeanguka na mbele kidogo tumekuta lory la mafuta limeanguka up side down na tenki limetoboka.
jambo la kusikitisha...
Baada ya maji kupungua mtera na umeme kuwa wa mgao. Serikali ilitangaza mkakati wake wa kuzalisha umeme wa dharura ili maisha yaweze kusongo mbele. Baada ya mvua hii kunyesha mambo yote yameyeyuka...
Hawa TBC saa ingine huwa nashindwa kuwaelewa. Mara kwa mara huwa nawasikia wakisema wanaonekana kwa njkia ya setelaiti hadi nchi za magharibi za marekani na ulaya n.k.
Ila inaonekana waandaaji wa...
Kwa kuheshimu na kuzingatia sheria za Haki Miliki, naweka link ya source na si content.
DailyNews Online Edition - Kagera honours its outstanding achievers
Kujadili hakuhitaji RUKSA!
Habari zenu GT, naamini humu ndio kila kitu, leo naomba kuulizia suala la mafunzo ya uaskari kwamba kwa mwaka huu wahusika wanaokwenda kusoma haya mafunzo wanatakiwa waende mwezi gani na tarehe...
Habari Wabeba Box wa USA,
Akiojiwa na Gabriel zakaria(mtangazaji wa TBC1),Emmanuel alisema hali ya uchumi nchi USA ni ngumu hakuna kazi kabisa,sasa najiuliza wabeba box wa uko wanaishi vp...
Wizara husika na ajira za walimu na wakufunzi toeni bac hzo ajira, ili 2jue mapema km ni kuendelea na private ze2 ili 2saini mikataba mipya au 2ache. Januar, mwez wa kuanza na plan mpya ndo huu...
Ninavyojua mimi kiongozi ni mtu mhimu sana kwa wale anao waongoza,kama kiongozi ni mzuri basi takribani mambo mengi yanakuwa mazuri hata kama sio yote.Mambo yanapokuwa mabaya pia lawama...
Baada ya kuona hii picha ktk blog ya michuzi nimegundua kuwa Mh. Pinda alilia kuhusu suala la mauaji ya albino sababu
anae mwanafamilia ambaye ni albino (mjukuu). Angalia picha hii ambayo amepiga...
Tuesday, 03 January 2012 21:10
By Ludger Kasumuni
The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Tanzania, with an estimate population of 42 million people, now has 11 per cent of Internet users...
Kwa ukweli mimi kama Raia wa kawaida sijui hasa ni zipi kazi za mamlaka hii hasa linapo kuja swala la television, tulitangaziwa kwamba Tanzania kama nchi nyingine duniani kote, inaondoka kwenye...
Jamani, nilipigiwa cmu nikimbie kuangalia tbc kwani lowassa aliongea juu ya migomo ya wanafunzi na serikali. Nasikia ametupa makombora makali sana lakini lakushangaza story mpaka tumefika habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.