Mishahara hiyoooo dirishani soma hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara hiyoooo dirishani soma hii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OSOKONI, Jan 3, 2012.

 1. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280

  In a dramatic move aimed at ending the ghost worker syndrome, the government has directed all civil servants to report to their respective duty stations and collect cheques for their January 2012 in person.

  The procedure is a departure from the system under which salaries were posted to the bank accounts of employees, some of whom, it has transpired, were non-existent. Information on the new system has been communicated to civil servants through a general notice - a fact confirmed yesterday by an official of the ministry of Finance and Economic Affairs* from which it originated, who spoke on condition of anonymity.

  He hinted to The Citizen that the government had introduced the system as a means of grappling with the problem of ghost workers, through which much revenue was drained.

  According to a copy of the notice seen by The Citizen, the order for personal physical presence at duty stations covers even workers who are out of their stations on official engagements, as well as those on leave.

  It may be assumed, by extension, that, sick and bereaved staff, as well those currently out of the country are not exempt.

  The notice states that the cheques of those who would not collect them would be returned to the paymaster general, to facilitate determination of the employment legitimacy of the would-be bearers.

  Elaborating on the logistics of the new system, civil servants are supposed to report to their duty stations at 7.30am on pay day, which has not yet been specified, but customarily it is the 25th of every month.

  They have furthermore been directed to carry and submit for scrutiny, duly signed letters of employment or contracts, official identity cards, and a copy of any salary slip within the year 2011 or 2012.

  Reached for clarification on the subject,* the Minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkulo, said he was not in a position to comment, directing The Citizen to contact the Permanent Secretary.The deputy PS, Dr Servacius Likwelile, confirmed that his office had issued the said notice, citing ghost payments as the reason.

  He said the government was all out to eradicate the ghost worker problem. “The government is determined to get rid of ghost workers,” he declared, adding: “We want to pay people who deserve to be paid, and stop losing taxpayers’ money to few crooks.”

  According to Dr Likwelile, stern measures will be taken against those who will be found guilty of forging and stealing the government funds.

  The deputy PS hinted that the new procedure was one of the early steps in a broad-based revolution the ministry was undertaking, to make salary payment fraud-proof.

  Ghost payments have constituted one of the biggest financial challenges to the government.

  On March 22, 2011, President Jakaya Kikwete ordered audits to be conducted in all government departments after reports showed that Sh9 billion in salaries were paid to ghost workers in three ministries.

  The President also directed that administrative action be taken against officials who sanctioned payment of the salaries to the ghost workers before legal action was taken by the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB).


  THE CITIZEN
   
 2. nachid

  nachid JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 898
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  ngoja tuone kama hadithi hii itakuwa kweli
   
 3. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuishiwa kunaleta adabu. Ndo maaana naushukuru mdololo wa uchumi. ili tuendelee tunyimwe misaaada then tutasimamia resources zetu vizuri. Si unaona sasa pesa hakuna ndo tuna anza ziba mianya. GOOD
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  sioni mantiki ya zoezi hili.je wizara ya fedha itasambaza wawakilishi katika kila halmashauri au watawaachia wakurugenzi wasimamie zoezi hili?wizi haufanywi na mfanyakazi bali ni wateule wa mafisadi!
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tatizo la Serikali yetu ni kutochukua hatua, ngoja tuone watawashughulikiaje watakaowabaini safari hii, na walio masomoni je?
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wamesahau kuwa hata mishahara ya dirishani ni dili!
   
 7. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kiongozi hii habari yako ni nzuri sana ila umeirudiarudia, hebu naomba uiedit ili isimchoshe msomaji, mbaya zaid umeiandika kwa kiingereza, inachosha mapema kweli!!
   
 8. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  Kweli. hii yote yaonesha serikali inakaribia kufilisika. Ukitazama kodi za kijinga na ushuru wanaomtoza mwananchi, baadhi ya 'miradi' ya usumbufu wanayoianzisha na inayotia aibu nchi (ukitaaka kuingia Tanzania kwanza walipa dola 50 eti za chaanjo ya yellow fever!)
  Yote hii ni kwa sabau ya kuishiwa.
  Lakini ole wwako, eti umesema wataanza kusimamia vizuri resources zetu? hhhhhm...hawana akili hizo. Wao wanafikiria kuzipata hizo kwa kuzidi kumkomoa mwananchi!
   
 9. D

  DT125 JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Naomba wafadhiri wasimamishe kuchangia bajeti yetu, malipo ya ovyo ovyo semina, washa, kongamano na posho za wabunge lazima yatasimama. Wabunge wanaoingia asubuhi na kusaini fomu za mahudhurio na kwenda kupiga maji Chako ni Chako Bar, Mwanga Bar, Dodoma Hotel, nk mpaka kesho yake tena wanaweza hata wao wasipate posho. Viti haviwezi kuwa wazi tena Bungeni.
   
 10. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kweli hali ni mbaya hazina
   
 11. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mie siamini kama zoezi hili litafanikiwa maana watakaosimamia zoezi hilo ni walewale na baadhi ya huduma kama shuleni na hospitali zitasimama kati ya tar 25 hadi 30 kwa kila mwezi kwa kisingizio cha kufuatilia mishahara
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kama kwa miaka 50 iliyopita serikali imeshindwa kuwa na mfumo wa utumishi wa umma ambao unaiwezesha kujua idadi kamili ya wafanyakazi wake wanaopaswa kulipwa mishahara, nashindwa kuamini kuwa hiki wanachokifanya kitawawezesha kulitambua hilo. It is a desperate move by a desperate government. Ni mfa maji anayetapatapa
   
 13. Atukilia

  Atukilia JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 643
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hivi kazi ya kitengo cha audit ni kuangalia fedha tu au na kuona kama watu wapo, wana qualifications zinazostahili, wanalipwa mshahara wanaiopaswa kulipwa etc? naona kuna tatizo hapa kama kuna watu wanachukua mshahara wa watumishi hewa si watawaleta watu waje kuuchukua huo mshahara? Halafu ni ukiukwaji wa haki za binadamu kwa wale waliopo likizo za kawaida, uzazi au masomoni. Kuna namna bora zaidi ya kuhakiki watumishi wa serikali kuliko hili kwani litavuruga utendaji kazi wa serikali kwa kiwango kikubwa
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  hawapewi mishahara dirishani bali hawala. Hiyo dili inatokea wapi hapo?
   
 15. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wasi wasi yangu ni kuwa wanao husika na watumishi hewa ni viongozi wa juu, na HAZINA imetangaza vigezo vya kupokea hundi kuwa ni salary slip yoyote ya 2011 ambayo kama mshahara ulikuwa unakuja lazima itakuwepo, kitambulisho na nyaraka zingine vinaweza kutengenezwa ukizingatia kwa kawaida vinatolewa na viongozi hao hao wa juu.
   
 16. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Dili lipo kuna watu watazunguka kila kijiji katika nchi hii kugawa hizo hawala watalipwa tu Night out bila kujali kuwa katika kijiji X wamefanikiwa au la.
  sasa hilo sio dili kwa wanao husika na kugawa hawala?
   
 17. t

  thatha JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  safi sana,walikuwa wanatuibia sana.mtu amekufa miaka kumi iliyopita lakini yupo kwenye payrol hadi kesho.wachawi sasa basi...dirisha lipo.
   
 18. s

  sanjo JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Why ghost workers nightmare is a repeating issue in Tanzania? Is there a permanent fix?
   
 19. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Huwa nakuwa na wasiwasi pale ninapohisi kuwa watekelezaji wa hii sera/issue ndo walewale wanaofaidika na hii Ghost payments. Mungu tunakuomba uzidi kutubaliki ila watendaji wetu serikalini wabadilike na kutenda kwa haki na kadiri ya matakwa Yako. Aaamen!
   
 20. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #20
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Sio zoezi jipya lilishawahi kufanyika tena
   
Loading...