Wanabodi!
Heri ya mwaka mpya, taarifa nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika ni kuwa kampuni ya shamba la miti ya miwati (TANWAT) ambayo awali ilikuwa inamilikiwa na CDC (uingereza) na baadae...
Nacheka cheka engmtolera leo,kwa yote yanayonifika leo
Siwezi kusema mengi sana kwa ndugu na wapenzi wanguu
Leo nawambia haoooo,yaliyonifika ndugu zangu,basi ndugu zangu nyoooooote mjue Dunia...
Kuna tangazo la dawa mseto, ujumbe unaotolewa kwenye tangazo hili ni kuwa sasa mwanachi anachangia shilingi elufu moja tu kupata dawa hii kwa sababu gharama halisi imelipwa na serikali, ndani ya...
Mara nyingi linapotoke tatizo au janga lolote katika nchi yetu kauli ambazo viongozi wetu huwa wanazitoa zinanishangaza.Ilipotoke tatizo la mtikisiko wa uchumi na gharama za maisha kuwa juu...
Kupandishwa watumishi vyeo ni mpango unaoeleweka na siyo jambo la dharura wala ajali. Kwa mujibu wa utaratibu wa Serikali, mtumishi hupandishwa cheo kwa misingi miwili. Kwanza, kutimiza masharti...
Leo nimeona nijikite kwenye mambo ambayo Kama tukiendelea ku criticize kila kitu mwisho wake tutakua tinazalisha taifa lalamishi na nisilotambua wajibu wake kwa Taifa na kutegemea nchi tu...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John Haule, anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania...
Israel Mgussi, Dodoma.
NYADHIFA zaidi ya moja kurudikiwa mtu mmoja imedaiwa kuwa chanzo cha vijana wengi kukosa ajira na fursa zilizopo katika kulitumikia taifa lao ipasavyo licha ya vigezo na...
KIJANA mmoja [jina kapuni] alijikuta akiangusha kilio cha huzuni mara baada ya kutakiwa kuondoka katika ofisi alipofanya Interview ya kumuingiza katika ajira
Kijana huyo alimwaga kilio chake...
Maoni ya katuni
Leo tunaumaliza mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 ambao tunauanza kesho.
Tunamshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa baraka zake kutokana na kutuwezesha...
The international soccer player Recardo Kaka intends to read more about Arabs and Muslims after his 10-day visit to Dubai, the emirates Department of Tourism and Commerce Marketing (DTCM)...
Great Thinkers mie nashangaa kalenda ya simu yangu ya kitochi eti inaonesha leo ni tarehe 01 Jan 2012 week ya 52, wakati mie nilikuwa naelewa inatakiwa iwe week ya kwanza, pamekaaje hapa...
JIJI LA MBEYA NA CHANGAMOTO ZAKE
Katika hali ya kawaida na iliyopo miongoni mwa watu wengi na hususani waliopo nje ya mkoa wa Mbeya wanapopata fursa ya kujadili ama kusikia habari za jiji la...
Rais kikwete kaukimbia mkesha wa maombi ya kuukaribisha mwaka mpya unaofanyika hivi sasa ktk uwanja wa taifa.
Alitarajiwa kuwa mgeni rasmi lakini kamtuma mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kumuwakilisha.
Kinachonishanagaza ni kupita saa moja hii sio atari kwa rais wetu huyu
Huu msafara una v8 kumi na 12
Nissan patrol 4
Kuna benz 2
Kuna ambulance
Kuna gari za polisi kama 4
Kuna gx kama 5...
Mtanzania mwenzetu, ndugu yetu, rafiki yetu na jamaa yetu alifarika huko marekani
anategemewa kusafirishwa kesho kutokea Marekani na hatimaye kupunzishwa huko
nyumbani kwao Moshi kijiji cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.