Emmanuel Nkullila aelezea ukosefu wa ajira USA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Emmanuel Nkullila aelezea ukosefu wa ajira USA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Jan 4, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  Habari Wabeba Box wa USA,
  Akiojiwa na Gabriel zakaria(mtangazaji wa TBC1),Emmanuel alisema hali ya uchumi nchi USA ni ngumu hakuna kazi kabisa,sasa najiuliza wabeba box wa uko wanaishi vp? Walavumbi wenzangu ebu tukaeni tz tusiwe na kasumba ya kwenda USA kutafuta maisha,kule sasa maisha ni magumu sio kama kipindi kile cha clinton

  Nawasilisha
   
Loading...