Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mara nyingi naangalia taarifa za kbc, citizen kenya na ubc mbona huwa sioni taarifa za afrika ya mashariki kama sisi tunavyojikomba kwao
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wananchi wenzetu waliokumbwa na mafuriko ya hivi majuzi mjini DSM wameamua kurejea huko mabondeni na kukaidi amri ya serikali kuwakataza kuendelea kuishi huko.Wengi wao hasa wapangaji wanadai...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kwa wale tunaoishi hapa Arusha sipati picha huyu EL akiwa Raisi kweli hakuna rangi tuta acha kuona. Huwa nawaambia wenzangu kuna watu watatumbelea vichwani katika huu mji. Mana hawa jamaa mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu sasa umekuwa ubazazi. Jana nimepokea noti kadhaa kutoka benki ya posta zenye thamani ya sh 10000 kila moja. Bila ya wasiwasi nikazitumbukiza mfukoni nikiamini kwa kuwa zinatoka benki hakuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
The creator of STAR TIMES advertisement cannot be anything but MEDIOCRE and totaly devoid of any sense of creativity. To watch the man in the advert (I do not know his name) clowning himself with...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Mwalimu Nyerere - Articles, Transcripts and Legacies | Nyerere Against Islam in Zanzibar and Tanganyika Hiki ni kipande kutoka katika hiyo website Nyerere Against Islam in Zanzibar and...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
wadau ni muda mrefu sasa kituo cha television cha itv hakionekani hewani kwa njia ya antena za kawaida. Kulikoni au mengi ameona arusha hakuna la maana ndio maana akaamua kuitoa hewani. Kuna...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani…! Upinzania unaelekea wapi……? Kwani kwenye Siasa hakuna Yellow Card, kama mpirani?, nadhani CUF, NCCR Mageuzi na vyama vingine, fanyieni kazi mambo au madai ya wanachama na viongozi mnao...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye Wakazi wa kijiji cha Nambala na eneo la Shangarai, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, jana walikumbana na hali ya ngumu huku wakijikuta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF napongeza uamuzi wa waziri wa mambo ya ndani kutoawiki moja zaidi kwa watu na hasa madereva wa mabasi na magari makubwa ili waweze kupata hiyo leseni mpya. Wasi wasi wangu ni kwamba hiyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mi navyo jua nauri ya chini kabisa ya dala dala ni shillngi 300, Hata ukishuka kituo kinacho fuata toka ulipo panda. Sioni kwa nini nauri ya feri kupandishwa kuwa 200 watu wanalalamika. Mi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka kwa muheshimiwa Dr.JOHN POMBE MAGUFULI kuwa mapato yamepanda kutoka mil 9 hadi mil 18 kwa cku, kutokana na gharama mpya ya kivuko . Source MLIMAN TV . SWALI MILL...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamvi. Jana usiku mida ya saa 2 kamili nikiwa kwenye baa moja nikijipongeza kwa kulitumiakia taifa sikuamini kilichotokea. Ilikuwa taarifa ya habari radio one ilianza hivi.. mtangazaji...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika Sakata la ukosefu wa huduma ya maji katika Kata ya Goba jijini Dar es Salaam limechukua sura mpya, baada ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, kutangaza kuwahamasisha...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Maoni ya katuni Serikali imetangaza ongezeko la nauli za huduma za vivuko katika kivuko cha Magogoni-Kigamboni kwenye kivuko cha Feri, jijini Dar es Salaam. Ongezeko hilo lilitangazwa juzi na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Arusha imetikiswa na mrindimo ya Risasi eneo la Bara bara mpya kuelekea Tangeru baada ya daraja la nduruma, baada ya polisi kuvamia nyumba moja ili kulishikilia jambazi sugu, inasemekana kuwa...
0 Reactions
182 Replies
19K Views
Wakuu, mwaka jana mwezi Disemba mwanzoni rais wa chama cha walimu alitangaza mgogoro na serikali kutokana na danadana ya serikali kushindwa kulipa malimbikizo ya walimu. Mgomo huo ulitajwa kuanza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF nauliza hivii; Idara ya utabiri wa hali ya hewa ina wataalamu wenye vyeti fake? Au vyombo vyao vimepitwa na wakati? Hakuna namna yeyote ya kuwashtakii kwa hasara au usumbufu wanatuletea...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Katika mpango wa kupambana na viongozi wa dini wanaoyumbisha serikali ya Kikwete na wanausalama wameamua kutumia nguvu kupita kiasi na inategemewa kuanza kuwasakama mapandri, maaskofu na mashehe...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
kiwanda hiki kipo kilimanjaro(w)Hai,chini ya PSRC ni miaka mingi hakizalishi na hakuna anayewajibika walau kutaka kujua nini? Kinaendelea, wakati kilikuwa mkombozi wa wanahai ambao wanaeneo dogo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom