Mafuta Bei Juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta Bei Juu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Igabiro, Jan 4, 2012.

 1. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nilitegemea baada ya serikali kutoa kandarasi ya kuingiza mafuta mengi kwa kampuni moja basi watumiaji wa nishati hiyo tungepata ahueni kidogo...lakini imekuwa kinyume baada ya shehena hiyo kufika nchini na kushishwa tumetangaziwa na EWURA kuwa mafuta bei juu tena. sasa lipi bora turudi kule kule kwenye soko huria au huyu fisadi mmoja aendelee kutakamua walipa kodi. Nahisi na hili wangunge wa DSM wangeliundia muungano lingekuwa la msingi kabisa
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Haya wale wabunge wetu wanaotutea sisi wanyonge wanasemaje? Walishirikishwa kabla EWURA hawajatangaza hii bei mpya? au ushirikishwaji ni kwa Magufuli peke yake?
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...lengo ni kutengeneza faida kubwa kwa kundi dogo la watu.
   
 4. a

  asmara Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ........Hivi bei juu ya mafuta ina..anza na centi ngapi
   
 5. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Tushazoea, ni ajabu bei ya mafuta ya taa kuwa sawa na bei ya petroli, hii ni kuwaumiza walalahoi kwa makusudi, ni vyema tukawajua ccm kuwa ni chama fisadi na maslahi, pia kina wenyewe ambao ni matajili, masikini tulie kwani hatuna mwenyewe.
   
 6. t

  thatha JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  imepanda na kuwa tshs ngapi sasa.
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Suala la mafuta linagusa maslai ya mabosi wao na lile la kivukoni hawatii hata thumni mfukoni
   
 8. rfjt

  rfjt Senior Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  EWURA kama TAKUKURU, hawana tija yo yote kwa taifa...ni mzigo tu wanatuongezea gharama za bure za uendeshaji wa serikali. Kabla ya Ewura hatukuwa na matatizo ya ukosefu wa mafuta wa mara kwa mara. Hasara ambayo wananchi huwa tunaipata wakati mafuta yanapoadimika ni kubwa hata wengine hupoteza maisha kwa kukosa usafiri wa kuwafikisha kwenye vituo vya afya, kuliko hata hilo punguzo la "sh. 22/- kwa lita. Iachwe bei ya soko itawale, hii itatuhakikishia uwepo wa mafuta wakati wote na hivyo wananchi kuendelea na shughuli zao kama ilivyokuwa miaka michache iliyopita.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 280
  Tz = shamba la bibi.
   
 10. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tatizo letu watanzania tunapenda kuongea sana bila kutenda.
   
 11. Watunduru

  Watunduru Senior Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tusilalamike wazee,wanatutia adabu ili tupate akili,na tujue ushabiki wa vyama hauna maslahi yoyote,kama hatuthamini maisha yetu wenyewe tukaeni kimya basi,tutalalama na kunung'unika hadi lini?waacheni wachukue chao mapema.
   
Loading...