Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Jamani kila nikihesabu kuanzia mwaka 1961 naona jana ndo tumekamilisha miaka 49 tangu tupate uhuru na leo trh 10 ndo tumeuanza mwaka wa 50 tangu tuwe huru,sasa tunasherehekea kipi? Au mi ndo sijui mahesabu? Mwaka wa kwanza wa uhuru ulikamilika trh 09 Dec 1962 so kwa sasa mwaka wa hamsini unatakiwa kukamilika mwakani 09 Dec 2012.
Labda ni uelewa wangu ndo umekaa sendemaa.
Labda ni uelewa wangu ndo umekaa sendemaa.