Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekua nikijiuliza bila majibu juu ya umuhimu, na uwepo wa vyombo vyote hivi hapa Tanzania, Ni kwa nini serikali isiwe na chombo kimoja kati ya Tbs(Tanzania Bureau of Standards) Tfda(Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa kweli we jamaa unaudhi kweli yaani'mimi napenda sana kumsikiliza kibonde akiongea'sasa we jamaa unamwingilia kila akitaka kuongea'acha hizo we mshambaa
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Anamkandia hamad rashid
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yani mimi nimechoka ka kama unakuja kcmc uage nyumani mana uwo mlolongo wa kufa mtu . Nimemleta mama yangu leo sasa moja asubuhi mpaka sasa sijamuona dr yani ni noma tumezungushwa na sina uwakika...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
RPC Mkoani hapa Thobias Andengenye ametoa ofa ya Tsh milioni tano kwa atakayetoa taarifa ya kusaidia kukamatwa kwa jambazi SUGU aliyeharibu hali ya hewa leo hapa A town kwa kumpelekea Konstebo...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Bodi ya wachumi duniani, kichwa.
0 Reactions
73 Replies
9K Views
baada ya chama cha madaktari tanzania(MAT) kuwaunga mkono madaktari walioko kwenye majaribio kazini(intern doctors) hatimaye muamala umeanza kusoma!wameanza kuwekewa fedha zao bank. hivi ni kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna tetesi kwamba cdm inapanga maandamano kesho kupinga ongezeko kubwa ya nauli ya kivuko. Je kwa kuwa wanapinga nauli mpya, itawabidi wapige mbizi au watatii amri ya magufuli ya kulipa nauli...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi binafsi naona Dr anawaangusha wapiga kura wake kwa yeye kutotaka kusema anaumwa nini na sababu za ugonjwa wake anapo ulizwa. Kwanini hasemi? wapiga kura wake wana haki ya kujua.Amewaweka njia...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna acc si chini ya nne na page moja zote zinamuelezea Mh. Zitto Kabwe kwenye mtandao wa Facebook. Naomba ufafanuzi kutoka kwa zitto kwasababu tunaweza kuwa tunamlaumu kwa tunayoyaona kwenye acc...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina kiwanja changu milimani nataka kujenga, tatizo ni kwamba pamoja na kuwa eneo limepimwa na barabara zipo katika ramani, barabara hizo hazijachongwa na hakuna mpango wa manispaa kufanya hivo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wote tumeshuhudia jinsi mvua na radi zilivyoleta maafa jijini dar es salaam hadi watu kupoteza maisha, lakini utabiri wa hali ya hewa kutoka tma mara baada ya taarifa za habari jana tar 19 hakuna...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hakuna kitu kibaya kama kumwamini mkeo ama gfriend wako alafu sisku ya siku ukaj a kukuta ndie msaliti wa ndoaa yako hapo ndipo unasikia amtu karusha kisu kwenye **** la mkewe ukijiuliza amefwata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
why many of our leaders are against Constructive critism ? we cant go any where..they should understand that no one is perfect, and listern.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani kwa yeyote mwenye modem kutoka Vodacom aina ya Vodafone K3571-Z zinauzwa 25,000 atagundua haya yafuatayo 1.Inakula hela hata kama hujatumia hiyo bundle au hata ukitumia kidogo tu utakuta...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu zangu nashangazwa sana na huu utaratibu wa kutumia pesa za misaada kutoka kwa wafadhili wetu ( wazungu) au pesa za mkopo kutoka kwa hao hao mabwana wakubwa, kila pesa inatumika kwa kujenga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Juzi nilibahatika kupita Nairobi na kuwakuta wachina wako busy na ujenzi wa fly overs ambazo pamoja na kwamba bado ujenzi wake haujakamilika lakini tayari zimepunguza foleni kwa kiasi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
na Grace Macha, Arusha VIONGOZI wakuu wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo watawaongoza maelfu wa wakazi wa Jiji la Arusha katika kumbukumbu ya mwaka mmoja ya watu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya tena Magufuli anadhihirisha ulevi wake anawaambia wakazi wa Kigamboni wapige mbizi sijui anafikiri kwa kutumia makalio maana hata hizo degree zipo za chupi na za ...... kwa watoto wa kiume...
0 Reactions
1 Replies
922 Views
Kuna habari toka Michuzi blog kwamba kuna jamaa wanaweza kusaidia waliolizwa na makampuni ya Japan katika uagizaji magari. Wadau hili mnalionaje? kuna uwezekano hapa, kama kuna yoyote aliyewahi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom