Hizi tuhuma kwa Samwel Sita ni za kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi tuhuma kwa Samwel Sita ni za kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bakuza, Jan 2, 2012.

 1. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  [FONT=&quot]
  "Aliyekuwa spika wa bunge ambae alimaliza muda wake Bwana Samwel Sita na ambae anajinadi kupambana na ufisadi nae inasadikika ni mmoja wa mafisadi ambao walipopata nafasi hawakusita kukwapua mlungula katika kandarasi mbalimbali.

  Alipokuwa waziri wa Mawasiliano na Ujenzi katika serikali ya awamu ya kwanza alihusika na ulaji rushwa katika kandarasi mbalimbali za ujenzi
  Mojawapo ni ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dodoma. Huyu bwana aliafukuzwa uwaziri na Mwalimu Nyerere baada ya kuchukua rushwa ya Ma-trector ambayo yalikuwa na harrow, planter na combined harvester kutoka kampuni ya ujenzi ya Brazil ambayo ilipewa kandarasi ya kujenga barabara hiyo. Tujuzeni wenye habari zaidi ktk hili.
  [/FONT]
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  inaonekana hata wewe mtoa mada huna uhakika,kwasababu huwezi leta habari ambayo hata wewe unataka tena upate habari zaidi kutoka kwa wengine

  mimi nilidhani ulivyo ileta habari hii ulikuwa na ushahidi tosha ama ulikuwa na maelezo tosha pasipo kuhitaji tena maelezo kutoka kwa wengine

  unavyo wanyooshea wenzako vidole angalia na vidole vingine vinaelekea wapi
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Wewe mafisadi unawajua, leo Sitta katoka wapi na hiyo barabara iliyojengwa na waBrazil toka 1982 ni kweli alikuwa CDA na akaenda uwekezaji kabla ya Naiko lakini si fisadi kama wakina Richmond
  lete habari zenye uhakika tuchangia, Samweli keshasema hagombei
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tuhuma c tatzo,vidhbit vimwagwe hapa,
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  bakuza jipange urudi tena
   
 6. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ndo ugumu wa mambo ya rushwa yanapokuwaga hapo - mtuhumu km ww unasema - INASADIKIKA, unategemea Sitta ndio atoe huo USADIKIKA? Evidence huna.........
   
 7. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ndo ugumu wa mambo ya rushwa yanapokuwaga hapo - mtuhumu km ww unasema - INASADIKIKA, unategemea Sitta ndio atoe huo USADIKIKA? Evidence huna.........
   
 8. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  1982 utalinganisha na ufisadi wa sasa kweli?
   
 9. U

  Uwilingiyimana Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Combine harvester na ujenzi wa barabara wapi na wapi? Ama umetumwa na wanaofahamu njaa yako,, au umeamua kujiajiri kwa kupika na kuuza majungu!
   
 10. N

  NnyaMbwate JF-Expert Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,401
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Wajameni napita tu! Heri ya Mwaka Mpya!
   
 11. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Toa ushahidi au umetumwa kumchafua?
   
 12. Rocket

  Rocket Senior Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Bakuza anatumika bila kufahamu!!!sasa wewe nani kakutuma kuleteta hii mada!!!
   
 13. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Umeelewa hii thread wewe au ndo unakirupuka na kujifanya much know? Hii siyo habari mjomba bali ni mtu anayeomba mawazo ya watu wenye taarifa za zaidi kuliko yeye. Hili siyo kosa, ni tabia ya mtu anaetaka kujifunza ama kupata taarifa zaidi ili awe na uhakika wa jambo.
  Usitake kujifanya much know kwa kujibu kila kitu (hata usivyovijua), kukaa kimya siyo ujinga.
  Mnaboa sana wewe na wajinga wenzio mnaofanya watu washindwe kupata majibu ya maswali yanayowasumbua.
   
 14. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280

  Unatumika vibaya ndugu
  Utachakaa mapema!
   
 15. Watunduru

  Watunduru Senior Member

  #15
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  usikubali kutumika kama karai ndugu yangu,unasumbuliwa na mambo ya 1982! Ya 2005 majibu yake tayari unayo?mbona munakuwa na akili za kushikiwa!!!
   
 16. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ok, kwahiyo unakubali kuwa ni fisadi lakini halinganishwi na Richmond?!, haya basi tueleze huo ufisadi wake kiduchu tuuelewe kwani dhambi ni dhambi tu.
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Toa ushadi, au umetumwa kumsafisha?
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Great thinker unashindwa hata kuelewa mada?, unashindwa hata kuchangia mada?! Harafu unaishia kutukana?!, mtoa mada anataka mwenye counter info atoe wewe wamwaga offals, hakika umetumwa.
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Mkuu Watunduru, umechangia as if unafukuzwa na simba wa tunduru/selou?!,
   
 20. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Unamhukumu mtoa mada kwa kosa gani?, ameleta mada ili mwenye data(+ve or -ve) azilete ili kuweka kumbukumbu sawa, wewe waleta habari ya kunyooosheana vidole?!, GT watia aibu but endelea na moyo wako wa kumtetea 6.
   
Loading...