Mvua imenyesha mtera imejaaa.....mwaka huu baadae mgao kama kawaida. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvua imenyesha mtera imejaaa.....mwaka huu baadae mgao kama kawaida.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ta Muganyizi, Jan 4, 2012.

 1. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Baada ya maji kupungua mtera na umeme kuwa wa mgao. Serikali ilitangaza mkakati wake wa kuzalisha umeme wa dharura ili maisha yaweze kusongo mbele. Baada ya mvua hii kunyesha mambo yote yameyeyuka .Kwanza serikali fedha kushney......hakuna jitihada nyingine maji si tayari yamejaaaaa...., kwa hiyo mvua ikiisha tu mgao kama kawa nyie mtakuwa mashahidi. Nikiandika kwamba nchi hii ifanyiwe utaratibu....thred itnaweza kufutwa. Mfano nikisema jeshi lichukue nchi.....weeee thread haitaonekana lakini tuendeleeee.
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Sasa hivi tusipopiga kelele hakuna kitakachofanyika
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tutaambiwa matope au mchanga umejaa.
   
Loading...