Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

PENGINE KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KATIKA SAKATA LA SUAREZ NA EVRA 'Suarez, Evra and Reliable Witnesses The verdict in the Suarez case hung on the reliability of the witness testimony. In blunt...
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Ukisikia wazanzibari wanavyolalamika kukandamizwa na serikali ya muungano, unapata kinyaa na ngoa. Malalamiko ya wazanzibari yamegeuka ndwele tena isiyotibika. Kwanini wanashindwa kuamua moja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku za nyuma, ilikuwa haipiti muda bila kusoma habari za gazeti la Mwanahalisi kwenye JF. Hata hivyo, siku hizi halisikiki ukiachia mbali kuibuka utata juu ya ithibati yake. Je kulikoni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakati wa Salamu za Mwaka mpya Waziri wa Nishati na Madini Willium Ngeleja alisisimama Mbele ya Kanisa lake jimboni kwake na kueleza baina kuwa anaomba Askofu na Waumini wamuombee ili Matatizo ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Source: The Guardian 14 December, 2011 page 10 Miaka ya 2003-2005, PPF kwa mbwembwe kubwa walianzisha mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwa wanachama wake kama mwitikio wa maombi ya...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
"Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote",ni wimbo unaovutia ni wimbo unaelezea wasifu wetu wasifu wa nchi yetu Tanzania kweli jina lako ni tamu tulalapo tunakuota wewe, Ndoto wakati mwingine...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ukiingia ndani ya basi unaweza ukakutana na maandishi, "abiria chunga mzigo wako". Na katika tiketi pia utakutana na mwandishi hayohayo na wanaongeza kuwa kampuni haitahusika na upotevu wowote wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Diwani kupitia CHADEMA (Morogoro) amechomwa na kisu na mpenzi wake ambaye pia ni kiongozi wa CHADEMA Diwani kalazwa hospitalini na Mshikji wake kakimbia !! My take: Hii inaashiria nini ? SOURCE...
0 Reactions
88 Replies
9K Views
Nimekua Arusha kwa muda mwingi hii desember nimekutana na vijitangazo kibao kuhusu waganga wa kienyeji wengi utasikia wanatoka rukwa,sumbawanga,ufipa,kigoma alakini huwezi sikia mganga kutoka...
3 Reactions
56 Replies
15K Views
I know barclays started as a corporate bank then few years later it expanded into commercial,I would want to knw exactly when (dates n data if any) this all happened. thanx
0 Reactions
13 Replies
3K Views
GreaTthinkers Hivi ndivyo tunavyoaga miaka hapa JF, ili kuwa na kumbukumbu ni vizuri nawe ukaweka tukio unalolikumbuka lilikuchefua au kukuhuzunisha ili libake humu JF milele 1. Anne Makinda...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
RWANDA: 2011 was a year of progress – Kagame www.eastafricanewspost.com Dr. Willibrord Slaa Kila mmoja wetu anayo nafasi ya kuleta maendeleo nchini mwaka huu wa 2012.Tuongeze bidii ya kufanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JE HIVI UNAJUA: Kwamba tofauti kati ya nchi masikini na nchi tajiri haitokani na umri ambao nchi inayo. Na hilo tunaweza kulitambua kwa kuangalia nchi kama India na Misri. Kwamba zina zaidi ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima mbele! mimi ni mgeni kidogo hapa jamvini.lakini naamini nitapatiwa ufumbuzi wa tatizo langu.kuna panya wananisumbua sana dukani kwangu.ingekuwa ni nyumbani ningewacontrol vizuri...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Tangu jana tunahangaika vituo vya mauzo hakuna mtandao
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wa nyumba za kulala wageni katika manispaa ya Morogoro,wameagizwa na mkurugenzi kuwa kuanzia mwezi januari,2012.kulipa kodi ya "hotel levy" kupitia kampuni binafsi ya "BAMM...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dah,tumeanza tena kuitafuta Dec 31,hivi huu mzunguko unamaana gani?
0 Reactions
0 Replies
802 Views
nimekaa kijiweni kwa msafisha viatu, hapa stori iliyopo ni aibu, jamaa wanalalamika kuwa askari kuuliwa na mdada kwa kuchomwa kisu marambili ni aibu kwa jeshi letu. kwani jinsi tukio lenyewe...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Leo katika kipindi cha magazeti cha clouds FM kinachoongozwa na PJ nimesikitika sana,nilikua nasubiri kwa hamu sana habari ya MAGUFULI kuzomewa,ila PJ hakusoma hyo kitu hata heading tu,damn...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya! Kama kawaida nimekuwa napata mzio (allergy) pindi mkuu wa kaya anapo wahutubia wadanganyika!!! Kutokana na ushauri wa kitabibu nilishauriwa kuzima TV, Redio, Magazeti etc na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom