Star Times inaboa

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Ni imani yangu kuwa mtakubaliana na mimi kuwa Star Times hawana jipya na kuwa chaneli zao zinaboa ile mbaya! Ni mwezi wa tatu huu sijanunua vocha, infact nafikiria kununua dish. Ushauri wangu ni kuwa wateja wa Star Times tugome kwa pamoja kununua vocha hadi hapo watakapoboresha huduma yao.
 
Wanakosa creativity ideas za Tido Mhando waliyeondolewa na serikali kwa mizengwe! Muda si mrefu watarudi kwenye TVT. Haya ndiyo matokeo ya kuendesha asasi za kitaalamu kisiasa.
 
Hawana ubunifu hata kidogo mi nimeacha kabisa kulipia nataka sikumoja nilivunje mbele ya ofisi zao wajue
 
Mi nsha goma kitambo

............................................................
kwa sasa nina kama mwezi wa nne sasa sijawahi kulipia...nimekiweka ktk list ya hasara niliyopata ktk mwaka wa fedha 2010/2011
 
mie nimegoma muda mrefu sasa kutumia star timez! natumia dstv
 
Back
Top Bottom