Nimejua kwanini Pinda alilia na suala la mauaji ya albino | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimejua kwanini Pinda alilia na suala la mauaji ya albino

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Igangilonga, Jan 3, 2012.

 1. I

  Igangilonga Senior Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  pakua[1].jpg


  Baada ya kuona hii picha ktk blog ya michuzi nimegundua kuwa Mh. Pinda alilia kuhusu suala la mauaji ya albino sababu
  anae mwanafamilia ambaye ni albino (mjukuu). Angalia picha hii ambayo amepiga akiwa likizo kwao Mpanda na wajukuu zake.
   
 2. n

  ngwini JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kijana,pinda alimchukua huyo mtoto kumlea kutokana na vitisho kutoka kwa wa2,alimchukua kanda ya ziwa.
   
 3. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Nani kakwambia Pinda alilia?ile ndio sura yake ilivyo.
   
 4. I

  Igangilonga Senior Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Okay, sikujua hilo, thanx for the info
   
 5. b

  buswe Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama hukujua nani kakwambia ni mjukuu?
   
 6. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ndio u-great thinker.
  kama hujui, unakubali kusahihishwa.

  hongera kijana.
   
 7. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  na kama unajua unawasahihisha wasiojua.
  Teh teh teh teh hii ndo jf bwana hata ukitaka habari za mkeo/mmeo utazipata tu hapa.
   
Loading...