kiwanda cha TANZANIA MACHINE TOOLS nani anakitafuna? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kiwanda cha TANZANIA MACHINE TOOLS nani anakitafuna?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saashisha Elinikyo, Jan 4, 2012.

 1. S

  Saashisha Elinikyo Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kiwanda hiki kipo kilimanjaro(w)Hai,chini ya PSRC ni miaka mingi hakizalishi na hakuna anayewajibika walau kutaka kujua nini? Kinaendelea, wakati kilikuwa mkombozi wa wanahai ambao wanaeneo dogo sana la kilimo hekta 46,506 sawa na asilimia 46 lingine ni misitu na miamba.hiki kiwanda ni kitagauchumi muhumu sana,wadau kama mpo mnausika tazameni hili linaathiri sana uchumu na pata la halmashauri ambalo lipo chini ukilinganisha na idadi ya watu 167097(sensa 2002) na pato la 68624368.74(2008/2009,huu ni mfano mdogo tu bado hujagusa ajiri.ni hatari
   
 2. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Usishangae kuskia kuna wakurugenzi na wanahudhuria semina huku wakijilipa posho huku kiwanda hakizalishi kitu!
  Hii ndo Tanganyika bana!
   
 3. S

  Saashisha Elinikyo Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na ruzuku je? Hawapati kweli
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mkuu, umefikiria jambo la maana sana mkuu.
  lakini unajua viwanda vya caste iron na fabrication ya iron vilikuwa vingapi Tanzania?

  mimi najua viwili tu, kimoja ni Moshi machine tools, na kingine kilikuwa Ulanga.

  ilikuwa kazi ya Nyerere..............mzee wangu alikuwa anachongesha spare za lorry lake hapo, spare za mandolini alikuwa anachongesha hapo pia.

  wahuni wamekiua kiwanda ili wafanye biashara za spare za machines including magari kuwa ghali, na kuanzisha biashara ya used spare parts..............UHUNI mtupu!!!

  ukiachilia mbali economic value ya kiwanda tajwa kwa wilaya ya Hai, uwepo wake ungelikuwa na economic vlue kubwa sana kwa nchi hii.......spare zote za mitambo na magari zingeweza kutengenezwa hapo.......at least karibia zote.

  sasa hivi watu wananunua tyre rod end ya used..........si kifo hiki.

  Watu wangelijua ni kwa nini CCM haitakiwi kuwepo.......hata as a political party, nchi hii ingeendelea sana.
   
 5. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  The hunter nimecheka sana na hii comment yako japo ni suala la kusikitisha na kuhuzunisha.Kweli Tanganyika ni zaidi ya uijuavyo.
   
 6. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mkuu haya ndiyo mambo ya msingi ya kujadili hapa.umetukumbusha jambo muhimu sana
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hiyo Machine Tools iko mbali, kuna hicho cha Urafiki, kuna wafanyakazi kibao, wachina ndo wengi ajabu angalia production kama ipo, namjua jamaa mmoja pale alisomeshwa China kwa kodi ya wazalendo wa nchi hii, yeye dili zake ni kupangisha zile kota kwa wafanyabiashara wakubwa, utafkiri ndo alichoenda kusomea China.
  Wamemaliza dili kupangisha nyumba wakarudi za kuuza machine za kiwanda wakijifanya vyuma chakavu.
  Hii ndo bongo na Tanganyika ya Jey Keyi
   
 8. S

  Saashisha Elinikyo Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halmashauri inaongoza na cdm! Hawajaliona hili
   
 9. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Watu wa kuulizwa ni Proff Simon Mbilinyi ndo alikuwa Board Chairman
   
 10. bona

  bona JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  kufa kwa manufacturing industry ni janga ktk africa nzima ili kudumisha ukoloni mpya wa kutegemea bidhaa kutoka nje, maendleo halisi ni yale ya mtu kuweza kujizalishia kitu chake mwenyewe na hapo ndio wazungu walipotukalia kooni hatutaweza kujikwamua! hata ukichukua loan au iwe msaada kwa mabwana wa wakubwa pesa hizo hazitakiwi zikatumike kwenye manufacturing industry, pesa hizo ni za kujenga barabara au zahani tu ushaona pesa ya msaada imejenga kiwanda au pesa ya msaada au loan inaenda kuwekeza hapana tunalazimishwa kwa hiyo hii jitamba ya serikali kua inajenga mabarabara nchi nzima ni kwa sababu wamelazimishwa kufanya hivyo!
   
 11. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kaazi kweli kweli...
   
 12. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiki kiwanda sidhani kama baada ya kuazishwa kilifanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja. Viwanda kama hivi vilipaswa kuwa engine ya maendeleo ya nchi kiuchumi. Ingawa ujenzi wa kiwanda katika eneo hili la Hai mahali ambapo hamna reli ni swala la ku-question.
   
 13. rfjt

  rfjt Senior Member

  #13
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hii maana yake hatuko huru..kuna sababu gani ya kujiita Taifa huru na kisha kutumia gharama kubwa katika sherehe za uhuru...!!!???
   
 14. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Principle of 'Comparative advantage'!
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kile kiwanda kilikuwa kinauwezo wa kutengeneza a single wood machinery yenye seven operations

  very sad to see the defunct tools & machines manufacturing industry at moshi
   
Loading...