Mafunzo ya uaskari??

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Habari zenu GT, naamini humu ndio kila kitu, leo naomba kuulizia suala la mafunzo ya uaskari kwamba kwa mwaka huu wahusika wanaokwenda kusoma haya mafunzo wanatakiwa waende mwezi gani na tarehe ngapi? Kwa wanaolijua hili jaman naomben msaada,
 
Bila shaka muulizaji atakuwa anaulizia uaskari wa Mgambo. Kama ndo hivo ni kwamba mafunzo haya yamesimamishwa kwa muda sasa hadi hapo baadaye itakapotangazwa tena.
 
Back
Top Bottom