Viongozi wetu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wetu!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jpinduzi, Jan 3, 2012.

 1. Jpinduzi

  Jpinduzi Senior Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ninavyojua mimi kiongozi ni mtu mhimu sana kwa wale anao waongoza,kama kiongozi ni mzuri basi takribani mambo mengi yanakuwa mazuri hata kama sio yote.Mambo yanapokuwa mabaya pia lawama humwangukia kiongozi kuwa hafai kuongoza.
  Nisingependa kujikita sana kwenye mambo ya uongozi ila naweza kusema kwamba:

  Mwaka 2012 sio jambo la kubaki na kushutumiana kana kwamba viongozi ni malaika nao ni wanadamu lamsingi ni
  Tuweke nguvu pamoja tuishi maisha tele ya imani kwani Mungu ametutoa mbali.Viongozi wa dini wafinyange waumini wao wawe na hofu ya Mungu na Malezi yafungue mioyo na akili zetu tuweze kutembea pamoja na MUNGU(Yesu) aliye Njia, na Ukweli na Uzima.

  Pamoja na malezi, tunapaswa kuchukua hatua za makusudi tuwe na mawasiliano sahihi na ya ukaribu zaidi. Watu wanaoishi pamoja wazungumze na kupanga mambo kwa pamoja. Viongozi bora hushirikisha wanaoongozwa ili nao washirikishe mawazo yao. Kwa kuthaminiana tutatajirishana sana.

  Wakati umefika wa kuambiana ukweli na kuishi ukweli ili tuweze kuwa na amani na Mungu na wenzetu na hata na nafsi zetu sisi wenyewe. Mpango wa Mungu “ni kukusanya pamoja viumbe vyote chini ya Kristo” (Ef. 1: 10) Je! Wewe uko tayari na unapenda kushika sehemu yako katika mambo yale Mungu aliyokuwekea katika ufalme wa mwanga? (Kol.1:12).
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mliolekezewa maombezi haya njoooni muimbe Eimen,mnajifahamu.
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,233
  Trophy Points: 280
  ingelikuwa rahisi hivyo mbona haya hayajafanyika huko nyuma.....................na kwanini sasa ionekane kuwa yawezekana.............Soma Jeremiah 17:9 "The heart of a man is deceitful above all things, and is desperately wicked; Who can know it?"
   
Loading...