MOEVT toeni basi hizo ajira tujue mapema nani wa kupata nan wa kukosa Januar si ndo hii?

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Wizara husika na ajira za walimu na wakufunzi toeni bac hzo ajira, ili 2jue mapema km ni kuendelea na private ze2 ili 2saini mikataba mipya au 2ache. Januar, mwez wa kuanza na plan mpya ndo huu unayoyoma!
Umeniskia wewe Shukran Kawambwa na Murugo wako??? Fanyen fasta.
 
Back
Top Bottom