Mbuzi wa miguu minane azaliwa Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbuzi wa miguu minane azaliwa Dodoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Imany John, Jan 4, 2012.

 1. Imany John

  Imany John Verified User

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Na Danson Kaijage,
  Chamwino

  MBUZI wa ajabu amezaliwa
  katika mkesha wa kuamkia
  mwaka mpya 2012 akiwa na
  miguu minane na mikia
  miwili. Mnyama huyo wa ajabu
  alizaliwa katika kijiji cha
  Manchali, kata ya Manchali,
  wilayani Chamwino, akiwa
  mzima lakini akafa baada ya
  masaa matatu. Mmiliki wa mbuzi huyo,
  Christopher Chipene, alisema
  hiyo ilikuwa mara ya nne kwa
  mbuzi wake kuzaa ambapo
  katika awamu tatu za awali
  alizaa ndama wazima bila ya matatizo. Tukio hilo ni la pili katika
  familia ya Chipene ambaye
  amekiri kwamba katika siku
  za nyuma binti yake
  alijifungua mtoto mwenye
  mwili wa plastiki badala ya ngozi, japo mtoto aliyezaliwa
  alifariki baada saa chache. Naye Ofisa Mtendaji wa Kata
  ya Manchali, Amos Songo, na
  Ofisa Kilimo na Mifugo wa
  Kata Lista Ngimbwa walisema
  hilo ni tukio la ajabu na la
  kwanza kutokea katika kata hiyo.

  Chanzo:TANZANIA DAIMA
   
 2. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  mmmmmhhh maajabu kweli
   
 3. Imany John

  Imany John Verified User

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Maajab(as faiza lg "arab"
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  I wonder hatma yake itakua ipi....
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  angepona tungeenda kuswali hapo.
   
 6. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  labda wawili waligandana!
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hakuwa na herufi zileee
   
Loading...