Basi la Lucky Star laua zaidi ya watu 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la Lucky Star laua zaidi ya watu 10

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Jan 3, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ajali imetokea maeneo ya mikumi

  Source:Clouds Fm
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  lol tumekwisha sasa
  mwaka mpya furaha imeishia hapo
  poleni wafiwa
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Jamani jamani Rushwa kwa TRAFFIC/Sumatra/TRA na TBS zitamaliza watz kwa ajali
  Mabasi mabovu
  Matairi mabovu
  Body mbovu
  Madereva wana leseni bandia
  Madereva hawasomi kanuni za barabarani pia walevi na wakaidi
  Speed hazizingatiwi
  Malori yanapaki hovyohovyo
  Eee mola tupe mtawala atakayesimamia haya bila kuoneana aibu!!!!
  Poleni wafiwa inauma sana
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dah kaka umeandika kwa uchungu sana kaka yangu. Inshallawh MUNGU atajaalia.

  RIP marehemu wote, Poleni wafiwa, poleni majeruhi
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  hii ni ajali mbaya sana...........
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,332
  Likes Received: 19,497
  Trophy Points: 280
  RIP marehemu wote, Poleni wafiwa, poleni majeruhi
   
 7. m

  mukama talemwa Senior Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Waanga poleni saana.Ila bila traffic kuwafanyia mpango wa kuwaondoa woote kutafuta taratibu nyingine sie soote tutamalizika,Jerry Muro alifanya kazi nzuri yaliyompata kila mtu anajua.HIVI JERRY AMEISHA RUDISHWA KAZINI?
   
 8. Ghiti Milimo

  Ghiti Milimo JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 60
  Haijakamilika! Lilikuwa limetoka wapi,na linakwenda wapi?
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Nawasiwasi nimepoteza mchumba humu simpati kwa simu ngoja nisubiri hili litakuwa lucky safari.
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Toka Dar kwenda Iringa
   
 11. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,719
  Likes Received: 1,628
  Trophy Points: 280
  poleni jamani , mabasi yanatisha sana body limechoka kama la banda la kuku
   
 12. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nimewahi kusafiri na Basi la Kampuni ya Lucky Star (basi la rangi ya Njano hivi)la kutoka Mbeya kwenda Dar, tulisafiri vizuri mpaka Iringa lakini tulipofika Maeneo ya Mikumi kabla ya kufika Daraja Mbili Ghafla tuliparamia kingo za daraja na basi kuharibika kwa kukata "centre bolt" na Safari yetu kuishia Mikumi uzembe ambao kwa asilimia kubwa ulisababishwa na mwendokasi. Madereva tunaomba mwaka 2012 tuendeshe kwa umakini na kutanguliza Usalama zaidi.
  Poleni Wafiwa na Roho za Marehemu Zipumzike kwa Amani. Amen.
   
 13. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  MwanajamiiOne inauma kupoteza ndugu jamaa na marafiki kwa sababu ya matumbo ya watu wachache wasio na aibu wala utu,watu wanakwepa ngoma na malaria kumbe kuna GOMA la ajali
   
 14. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  UPDATES
  Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya clouds Fm saa 12:00 jioni hii kamanda wa polisi wa kikosi cha usalama barabarani mkoani morogoro amethibitisha kwamba waliofariki ni wanaume wawili wakati majeruhi ni 27.
   
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Dar to Iringa
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  True Dat waliokufa ni Wanaume Wawili
  ,majeruhi 27
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa kaka sema watu tunadharau mpaka pale yanapotufika personnaly.

  Nadhani ifike sehemu hatua kali zichukuliwe! Ajali ikitokea tusiishie kuidismiss kwa vigezo vya mwendo kasi, kosa la dereva! Ichunguzwe na ubora wa gari lenyewe, n.k
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Jan 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  duh!!!
  RIP brothers!!
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  asante sana kwa taarifa. shemeji yangu anatoka songea kuja dar na kwenye simu tangu saa saba hapatikani. nshapaniki. poleni wafiwa. Mia
   
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Laleni kwa Amani ya Bwana!
  Na majeruhi Bwana kawaguse na wapone mapema! Amen!
   
Loading...