Story ya Mhe. Lowassa yazuiliwa TBC? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Story ya Mhe. Lowassa yazuiliwa TBC?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chizi1, Jan 3, 2012.

 1. chizi1

  chizi1 Member

  #1
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani, nilipigiwa cmu nikimbie kuangalia tbc kwani lowassa aliongea juu ya migomo ya wanafunzi na serikali. Nasikia ametupa makombora makali sana lakini lakushangaza story mpaka tumefika habari za nnje haikuruka. Wenye habari au mwandishi yoyote aliyekuwepo, naomba atujuze na alikua anaongelea wapi? Sitoshangaa kama ridhwan alipiga simu story isiruke, maana ashakua rais sasa.
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Huyo jamaa aliekupigia simu hajakuambia kwamba alikuwa anaongelea wapi?
   
 3. chizi1

  chizi1 Member

  #3
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hajaniambia, alisema ameona kwenye headlines. Mi nikaikuta ndo habari inaanza, lakini zikapita zote haikuonyeshwa
   
 4. M

  MwekezajiMzawa Member

  #4
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Who is Lowassa in Tanzania?
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  wewe kweli chizi1
   
 6. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hajatupa makombora yoyote, if anything ameitetea serikali. Wanafunzi wa vyuo wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro walimpekelekea malalamiko kwamba wanasumbuliwa sana na kunyimwa mikopo ya elimu ya juu. Yeye amewajibu kwamba wavumilie wakati serikali inatatua matatizo yao na kwamba serikali ya awamu ya nne imejitahidi sana na hata imeongeza fungu la mikopo ya elimu ya juu maradufu. Pia kwamba suluhu ya matatizo yao haitopatikana kwa migomo na hivyo watafute njia mbadala ya kudai haki zao badala ya migomo ya mara kwa mara.

  SOURCE: Radio Maria.

  There, nothing sinister.
   
 7. chizi1

  chizi1 Member

  #7
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndo maana nimeomba kama kuna mtu mwenye iyo story atupe. Lowassa ni ex pm na mbunge wa monduli hapa tanzania.
   
 8. M

  MwekezajiMzawa Member

  #8
  Jan 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Narubongo, jibu swali please!
   
 9. chizi1

  chizi1 Member

  #9
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwame.
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  Jan 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Kumbe Chizi1 alikuwa na kahabari fulani japokuwa hakakuwa kama alivyoambiwa lakini kanashabihiana kwa maana kwamba EL ameunguruma. Lakini tofauti na alivyoambiwa Chiz1, EL ameitetea Serikali yake ya CCM chini ya Rais JK.

  Inaonekana hao wanafunzi wa AR na KILI wanamuamini EL mbona hawakwenda kwa Wabunge wao? Au walikuwa wanataka EL aingie mkenge na kuishutumu serikali na wabaya wake wachekelee? Tumeambiwa humu hivi leo kwamba kila sentensi na tamko lina bearing kwenye mbio za Urais 2015 hivyo EL inabidi awe makini kama kweli yuko kwenye mbio hizo ambazo zimeanza bila ya filimbi kupigwa.
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimemsikia na kumwona Chanel 10 leo saa 1 mbona hakuna kombora alilorusha zaidi ya kuongelea migomo ya wanafunzi wa vyuo vikuu?
   
 12. chizi1

  chizi1 Member

  #12
  Jan 3, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tbc walivyoweka kwenye headlines alafu hawakuonyesha, ndo imetushtua sisi. Alafu kuna jamaa mmoja akasema ndo tabia hiyo ya tbc kuzuia story zinazompiga bwana mkubwa.
   
 13. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #13
  Jan 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Amesema migomo kwa wanavyuo haifai bali ni silaha nzuri kwa wafanyakazi.
   
 14. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #14
  Jan 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kwenda kwa Lowassa kutaka msaada ni kupotea njia kwani huyu jamaa anajitahidi ku balance unafiki ili aonekane yuko kila upande ila lengo lake kubwa ni kuwatoka CCM agombee. Kusema wanafunzi wakigoma wao ndo wata suffer ni kuonyesha hana msaada kwa wanafunzi na kupoteza sifa ya kuwa next president. Nilitegemea ange state strategy ya kuondokana na hili tatizo lakini ameonekana mweupe kabisa hana jipya kama walivyo magamba wenzie.
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  If you think EL is bad try JK!
   
Loading...