Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumezuka malumbano makali miongoni mwa wanahabari wa mkoa wa Mbeya wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Willbroard Slaa kufuatia waandishi wa habari wa magazeti ya NIPASHE na TANZANIA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni siku moja tangu bei ya umeme itangawe kupandishwa kuanzia jumapili kwa malengo ya kuisaidia TANESCO kuweza kuendesha shughuri zake vizuri.1.swali kunawakati ambao umeme utarudi katika bei...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF,habari za asubuhi!Nimeamka asubuhi ya leo nasoma magazeti nikapata hili wazo maana imekuwa ndio kama ka utaratibu kwa nchi yetu kwa miaka michache ilopita na kwa mtizamo wangu itaendelea...
1 Reactions
0 Replies
878 Views
Picha Kushoto: Gari la mkuu wa wilaya ya Ludewa Geogina Bundala likishindwa kupita katika barabara ya Milo kutokana na barabara hiyo kuharibika kwa mvua ,gari hilo na lile ya CCM ambalo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huwa sielewi kitu kimoja majukwaani viongozi hupiga kelele kuhusu maadili lakini wakiombwa kuchangia mashindano yanayohamasisha uvunjifu wa maadili ni wa kwanza kwa michango mfano wa mashindano ya...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Habri wana JF?leo ningependa kushea na wana JF experience yangu then itakuwa topic 4 discussion. leo jioni wakati natoka kwa mihangaiko yangu kulikuwa na bonge la foleni Tabata kuelekea Tazara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akihutubiwa mkutano wa hadhara ktk maeneo ya Sido,amekutana na zomea zomea,baada ya kushindwa kujibu maswali ya wakazi na wafanyabiashara wa hapo!ikamlazimu kukabidhi maiki kwa Mc,na kupanda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari za kazi wakuu ? Kuna tetesi nilizopata hivi punde kuwa lile jambazi sugu lililoua polisi pamoja na kumjeruhi vibaya kwa risasi mkuu mmoja wa polisi huko jijini Arusha takribani wiki...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Mchana huu Rais Jk ametembelea na kujionea hali halisi ya nyumba za muda huko mabwe pande zilizojengwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko. Nyumba hizo (mahema) zina uwezo wa kustahimili kwa muda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hali ambayo haikutegemewa mgombea wa jimbo la segerea chadema mwaka 2010 ameebuka na kusema kuwa upinzani unajimaliza wenyewe. Akiojiwa na Tanzania Daima na Mwananchi mbuge huyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimepita njia kadhaa katikati ya jiji na kukuta mifuniko ya chemba imenyofolewa. Ukipita usiku cjui inakuwaje? Manispaa mpo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari nilizozipata kutoka chanzo cha ndani ya Jeshi la polisi ni kuwa Jambazi lililoua polisi Mkoani Arusha limeuawa na polisi asubuhi ya leo maeneo ya karibu na Monduli na lilijaribu kupambana...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ndg wanajf, kwa yeyote anayejua namna awa jamaa wanavyokokotoa kodi hasa ya gratuity naomba anijuze kwani katika taasisi yetu kuna utata wa namna awa jamaa wanavyokokotoa hii kodi. kwani kuna visa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakazi wa tank bovu kando ya mto mbezi wamehujumiwa hawakuhorodheshwa kwa madai ya kuwazuia wachimba mchanga!kwakuwa wachimba mchanga wanaharibu mazingira!na wanapeleka hesabu kwa mtendaji wa kawe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF. Polisi mkoani Lindi wakishirikiana na kitengo cha madawa ya kulevya, wamewakamata watu wanne raia wa Tanzania.. Wanaume wawili na wanawake wawili mmoja ni mtoto wa Liyumba, wakiwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika kuonyesha mwisho wa dunia umekaribia nabiina mtume onesmo ndege amelipua bomu leo kupitia mch wa mbeya aitwaye dk tumudike dk huyu ambae amekuja kwenye kanisa kuhubiri semina na kongamano...
2 Reactions
35 Replies
10K Views
Jamani ni mbio za Urais 2015 ama ni ubinaadamu alonao x-spika..? nimeona picha yake akiwa kwenye msiba wa mzee wetu KIPARA ( PWAGU)............?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chadema yaandaa maandamano kupinga bei mpya ya umeme Wednesday, 22 December 2010 20:07...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Madaktari wameanza kuwasili kutoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya mkutano wao wa dharura siku ya Jumamosi kesho saa tatu kamili kujadili swala la sekta ya afya nchini na maslai yao...Je yanataka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabunge wa ccm wana mkutano wa hadhara.wabunge walioteuliwa na rais ndiyo wamekuja kuelezea mchakato wa katiba mpya.nitawajuza kadiri ninavyoweza.kwa mbali namuona mkuu wilaya dan makanga yupo na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom