Wizi wa mifuniko ya chemba umekubuhu DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa mifuniko ya chemba umekubuhu DSM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luck, Jan 13, 2012.

 1. luck

  luck JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 772
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80
  Nimepita njia kadhaa katikati ya jiji na kukuta mifuniko ya chemba imenyofolewa. Ukipita usiku cjui inakuwaje?

  Manispaa mpo?
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,859
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni Viwanda vya Kununua scraper Kumilikiwa na Watu walioiweka serekali Mfukoni!! Sheria zote za Nchi Zinaparalize!!
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Mifuniko hiyo hainunuliwi na wanunuaji wa scrapper, hununuliwa na wajengaji nje mji. Hususan wachagga.
   
 4. l

  lupaso Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa toka mwaka huu uanze kila sehemu iliyokuwa na mfuniko hakuna mjini mpaka jirani na central polisi wamekomba du kweli njaa mbaya sana tumekuwa kama nguruwe anayeza na kula watoto wake
   
 5. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lakini nafikiri ni kukosa ustaarabu, umaskini, elimu ya kujitambua, ubinafsi na dhiki ya baadhi ya watu katika nchi.

  Maeneo ya ngong nchini kenya hadi mapori ya kisames, oletepesi, olesakut hadi magadi utakuta kuna mabomba ya

  chuma yako juu ya ardhi, hayajafukiwa lakini hakuna anayeyagusa miaka na miaka. Ingekuwa bongo si balaa!
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mila na desturi za kiswahili ndo chanzo cha haya yote. Hapa hapa Bongo miji au maeneo ambayo hayana uswahili zaidi matitizo namna hii hakuna.
   
Loading...