msaada wa kodi kwa tra tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kodi kwa tra tafadhali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pota, Jan 13, 2012.

 1. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  ndg wanajf, kwa yeyote anayejua namna awa jamaa wanavyokokotoa kodi hasa ya gratuity naomba anijuze kwani
  katika taasisi yetu kuna utata wa namna awa jamaa wanavyokokotoa hii kodi. kwani kuna visa viwili ambapo kuna wenzetu
  wawili walikatwa zaidi ya laki tano na mwingine kakatwa zaidi ya laki nne na nusu but walipolalamika huyo wa laki tano karudishiwa
  laki nne na wa laki 4.5 karudishiwa laki mbili. hii inaonesha kwamba wangekaa kimya ingekula kwao. kuna wengine wameenda kulalamika lakini wanapigwa kalenda tu. tumejaribu kumuuliza huyo mTRA namna wanavyokokotoa katutolea nje. najua humu
  ndani kuna wahasibu na watu mbalimbali na taaluma zao, naomba msaada wa namna hii kodi inavyopatikana tafadhali sana.
   
Loading...