Waathirika wa mto mbezi eneo la Tanki Bovu upande wa Mbezi wamehujumiwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waathirika wa mto mbezi eneo la Tanki Bovu upande wa Mbezi wamehujumiwa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Jan 13, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Wakazi wa tank bovu kando ya mto mbezi wamehujumiwa hawakuhorodheshwa kwa madai ya kuwazuia wachimba mchanga!kwakuwa wachimba mchanga wanaharibu mazingira!na wanapeleka hesabu kwa mtendaji wa kawe tunawaomba wahusika wafuatilie hili.
   
 2. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Jee nyinyi munaodai mumehujumiwa muliwacha mita 60 zinazohitajika kwa mujibu wa sheria?

  Na hao wachimba mchanga kwa nini hamuwachukulii hatua kwa kuwaripoti kwenye vyombo vya habari ili huyo mtendaji awekwe kwenye kiti moto?
   
Loading...