Poleni walimu, viongzi wote wa TYCS na wanafunzi wote shuleni mwakaleli kwa kumpoteza mwanafunzi mwezetu Raphael Mathias, mwenyekiti sherehe mstaafu, Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi...
WANAJF;
KADRI TUNAVYOENDELEA KIFO CHA MBUNGE WETU MPENDWA MH. REGIA MTEMA, EBU TUSIKILIZE HUU WIMBO NA KUTAFAKARI MANENO YALIYOANDIKWA KWENYE HUU WIMBO. JAPO WIMBO UMEIMBWA KWA KINYARWANDA LKN...
WIMBO WA HALAIKI WA TANZANIA
1.Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote;
Nchi yangu Tanzania,Jina lako ni tamu sana;
Nilalapo nakuota wewe,niamkapo ni heri mama we...
jamani........................... tuacheni sympathy za kijinga,............................. hivi hapo chini kwenye bold, huo si ndio uchangu???...................... tena uchangu wa kijinga wa...
Kumekuwa na vita ya chinichini (cold war) kati ya ccm na wanafunzi wa udsm ambayo sasa imefikia hatua ya vita hiyo kuwa dhahiri,na huko tunapokwenda itakuwa kati ya wanavyuo wote TZ na ccm. Ni...
Akizungumza leo mjini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema anampongeza sana John Myika kuteuliwa na Chadema kuwa Mkuu wa Habari na Uenezi wa chama hicho...
Some body Manchali sijui Machali,Yupo live star t.v,hataki kuitwa mheshimiwa,ila anapenda kuitwa ndugu,
mada yao naona ni ileile'KUBALASANA KWENYE VYAMA'
Jamani house girl wa marehemu wa Regia naye amefariki dunia usiku huu...
Alikuwa kwenye ajali hiyo hiyo. Ni mmoja kati ya wale saba waliokuwa ndani ya gari
wakuu naombeni kama kuna mtu mwenye hizi taarifa,tunasikia viongozi wa dini walimfata na kumwambia aache kabisa tabia ya kusafiri hovyo hovyo kwani ni mzigo kwa taifa
tumefatilia sana hizi taarifa...
Hiv kwa kuangalia tu tofauti ya makabila kwa maana ya mfumo wa maisha,behaviours,attitude,n.k vina maana yoyote katika Tanzania,mbona makabila mengine yanaonekana active sana na mengine yana...
1. Mbunge wa rombo joseph selasini, juzi alimfunga paka kengele kuelezea jinsi baadhi ya wanahabari wa mkoa huo wanavyowanyanyasa wadau wao ili wapewe kitu kidogo. Habari hiyo imechelewa sana ila...
WanaJF,
Naomba leo mnisaidie juu ya jambo hili silielewi kabisa?
Natumaini kila mtu atakuwa ameshawahi kufiwa na ndugu yake yoyote katika maisha yake hali inayolazimu kusafirisha maiti...
Wakuu huyu mwanasiasa shy-rose bhanji naona amekuwa akijitangaza sana kwenye mitandao ya kijamii hivi ana agenda gani? Bado ana ndoto za kutuongoza watanzania? Kwa nini anavaa mavazi yasiyo na...
Shirika la umeme Tanzania, Tanesco limekubaliwa ombi lake la kupandisha bei ya umeme kwa 40% kuanzia kesho. Hili ni pigo kubwa kwa wananchi wa kada zote, ingawa wenyewe wametupiga siasa eti...
"Nitumaini langu kubwa kuwa ndugu zangu wanafunzi wa vyuo vikuu muwazima wa afya. Naomba nitoe pole kwenu wanachuo kwa kila yaliyowakuta wakati mkiwa safarini kuelekea kilele cha mafanikio...
Namshangaa sana rais kikwete a.k.a Mr kuchekacheka kwa jinsi anavyofanya masihara na maisha ya watanzania. Kwa kweli maisha yanazidi kuwa magumu sana na kila kukicha ni afadhali ya jana, sukari...
Sikukuu ya Mapinduzi huja na kupita kila mwaka tangu yalipofanyika mwaka 1964. Jambo moja huwa nalishangaa kila mwaka. Gwaride huandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kukaguliwa na...
Raisa Jakaya Kikwete
RAIS KIKWETE AKUMBUSHWA AHADI YAKE YA
MKOA WA NJOMBE KUANZA KABLA YA JANUARI 2012
WANANCHI na viongozi wa mkoa mpya wa Njombe wamehoji sababu ya Rais Jakaya kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.