Rais Kikwete atembelea makazi ya mabwe pande

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Mchana huu Rais Jk ametembelea na kujionea hali halisi ya nyumba za muda huko mabwe pande zilizojengwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko.

Nyumba hizo (mahema) zina uwezo wa kustahimili kwa muda usiopungua mwaka mmoja.

rais ameahidi kuwa serikali itakuwa karibu katika kuwasaidia wahanga hao kwa hali na mali.

Chanzo.east africa radio na cluods fm
 
jk awamuoni tena kama wenzao wafungwa alienda wakajua mambo yatakuwa swafi mpaka leo awajui yuko wapi
 
Jambo jema Mhe Rais kutembelea wahanga wa mafuriko.
Keep up the good work.
OTIS
 
huyu mzee sijui anawashwa kukaa ikulu..yaani as if kala miguu ya kuku khaaaaaaaaaaaa
 
Hii inadhihirisha wazi kuwa JK ni mtu wa watu na anawajali vilivyo. Mungu ambariki na aendelee na moyo huo.
 
afu kasema watu wataenda mjini tu kwasababu maghorofa yameongezeka.huyu raís bwana.
Chanzo:habari mlimanì tv
 
Back
Top Bottom