Upinzani unajimaliza wenyewe Federick Mpendazoe CHADEMA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Katika hali ambayo haikutegemewa mgombea wa jimbo la segerea chadema mwaka 2010
ameebuka na kusema kuwa upinzani unajimaliza wenyewe. Akiojiwa na Tanzania Daima na
Mwananchi mbuge huyo amesikitishwa na chama chake (chadema):A S embarassed: kutokuwa na ushirikiano
katika jimbo ya segerea. Mzee mpendazoe amefika mbali na kusema emekuwa muda mrefu sasa
Makao makuu ya chama kutotoa ushirikiano kwake


Je hii inaashilia nini kwa mpendazoe?:nerd:


images
 
Nafikir ndio vifo vya hawa wanaojiita wapinzan,mdogomdogn watapungua,kafu inapotea,nccr tayar
 
Political scums,I always cautioned CHADEMA agaisnt accepting these political left overs from other parties,same as SHIBUDA
 
Yani uyu mzee alienda chadema ili awe mbunge,kaukosa na kesi imemshinda..anaanza kuzingua.sasa anautaka ushirikiano wa aina gani?na yeye akiwa kama nani?
 
mpendazoe sio mbunge,rekebisha hapo.
hakuna upinzani tanzania ni kutafuta kula tu ndo mana mmoja akifanikiwa kupata hiyo kula af we unataka kumharibia lazima afe na wewe.
 
mpendazoe ni kada mchovu tu wa chadema.jamaa walimtumia vizuri sana,sasa amechemsha wamekula kona hawana mpango nae.siasa hizi
 
yogurt_pumpkin_img2.jpg

Whypumpkins are often yellow??...Kama kuna KENGE anayejua basi ajibu hili swali!!
 
Chadema inawenyewe baba. Wengine mliwekwa kuongeza idadi ya wabunge tu. Washikadau wapo.
 
Back
Top Bottom