Dr Slaa ameanza kutapatapa eti ana nyaraka muhimu za serikali na za ccm
hii ni mbinu mpya ya slaa baada ya kukosa publicity kwa muda mrefu sasa anatafuta
pa kutokea
Kama ana nyaraka hizo...
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na shirika la umeme la Kenya KenGen ni kwamba bei za umeme nchini humo zitaashuka kutokana na kuwa na maji ya kutosha. Je inakuwaje hali ni tofauti Tanzania...
Wenzetu Nigeria wameandama baada ya kuona maisha yatapanda baada ya seikali yao kuondoa ruzuku ya mafuta. Sisi bei ya umeme inapanda kesho kwa aslimia 40+, hatujaonyasha reaction yoyote...
Msichana wa miaka 13 afanyishwa ukahaba
Picha ya mmoja wa anaosadikiwa ni changudoa akiwa mawindoni
Sunday, January 08, 2012 11:52 PM
Habari kutoka Majengo Tanesco, mjini Sumbawanga zimeripoti...
As a Tanzanian pilot, I am writing this letter with great regret and great frustration. I feel it is time that some of these safety issues are made public by any means available. Perhaps somebody...
Airtel kama mnaipenda kampuni yenu bora mkirudishe kitengo chenu cha customer care mikononi mwenu,hao ndugu zenu kampuni ya SPANCO mlowapa kitengo cha customer care kazi inawashinda,kwanza...
Nchi ya kufikirika,Tanzania.
Tuliambiwa kuwa kupanda kwa gharama za maisha kunatokana na kuporomoka kwa uchumi ulaya na marekani.Na hivi karibuni Iran,mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani ,marekani...
Nipo hapa karibu na bugurun kwenye folen mandela road. Msafara wa magari ya FFU Kama 6 wakiwa full loaded na magar ya washa washa 2, yanaelekea njia ya ubungo. Wapi kimenuka? Maana wapo kishar zaid.
naombeni msaada kama **** kuna mtu humu ndani anayejua nini kinaendelea kwa sababu nina kiwanja karibu na kanisa la roma na tulisimamishwa tusiendelee na ujenzi miaka mitatu iliyopita mpaka...
Nalazimika kusema hivyo kwa kuwa Watanzania tumekuwa watu wa kulalamika na kusahau na siku zinasonga mbele. Mtanzania ni mtu ambaye anaamini kila mtu ataubeba mzigo wake peke yake. Ndiyo maana...
soma hapa
HOME SHOPPING CENTRE walivyowaweka Mfukoni TRA - Wazalendo Forums
halafu tazama yaliyotokea jana
HOME SHOPPING CENTRE YAIPIGA JEKI MABWEPANDE.
Ina maana ile kesi yao na TRA...
Wakaazi wa Singida tulitoa tuhuma nzito dhidi ya Naibu Waziri wa viwanda na Biashara Ndugu Lazaro Nyalandu. Kuwa Nyalandu aliwachukua wadogo zetu, watoto wetu kuwapeleka Arusha kukutana na...
Doto Elias na timu yake! Coverage ya hii kitu haiwezi kuwa na maana Tanganyika wakati kule Zbr kwenyewe haitiliwi maanani,pia wa-Zbr kupanda kwa umeme hakuwagusi ambapo ni issue ambayo ipo na...
[B]Poleni walimu, viongzi wote wa TYCS na wanafunzi wote shuleni mwakaleli kwa kumpoteza mwanafunzi mwezetu Raphael Mathias, mwenyekiti sherehe mstaafu, Mungu aiweke roho yake mahala peponi Amina...
The Citizen (Dar es Salaam)
Bernard James
13 January 2012
Dar es Salaam - Anti-drugs police yesterday seized a record 210 kilogrammes of heroin worth a staggering Sh9.4 billion in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.