Upandishwaji wa bei ya umeme itatusaidia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upandishwaji wa bei ya umeme itatusaidia?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vitalino mlelwa, Jan 13, 2012.

 1. V

  Vitalino mlelwa Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni siku moja tangu bei ya umeme itangawe kupandishwa kuanzia jumapili kwa malengo ya kuisaidia TANESCO kuweza kuendesha shughuri zake vizuri.1.swali kunawakati ambao umeme utarudi katika bei tunazoziacha au ndo byby,
  2. nikweli pesa zitakazopatikana baada ya ongezeko hili ni kweli zitafanya kazi kama ambavo imeongelewa
  3.kwakupandisha bei za umeme na mafuta hasa diesel tunategemea nini kwa maendeleo
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,234
  Trophy Points: 280
  bei mpya ya umeme ni kizungumkuti.....................itasaidia sana katika kuwakimbiza wawekezaji wa ndani na nje kwa sababu gharama za umeem zinatuondolea uwezo wa kushindana katika soko lolote lile duniani.....................wakati sisi tunaongeza bei ya nishati Kenya wamepunguza VAT kwenye umeme.........kutoka 18% hadi 11%......................

  wakati sisi tunajivunia kuwapunguzia walalhoi mzigo wa mpasuko wa bei ya umeme ukweli ni kuwa hakuna mlala hoi anayetumia units 50 tu kwa mwezi.....................ni chache mno hazitoshi kupikia familia hata ya mtu mmoja kwa mwezi.......................wao walichofanikiwa ni kucheza na maisha ya wanyonge..................kama lengo ni kutolipa umeme wa juu basi wangelipewa units 500 ndizo matumiz ya chini kabisa ya mlalahoi.........................

  jinigne ni kuwa wakaazi wengi mijini na vijijini watajikuta wanarudia vibatali..................khalafu hata hii REA inayoshughulikia umeme vijijini yabidi ifutwe kwa sababu huko gharama hizi mpya na zile ambazo zinapangwa kupandishwa baada ya miezi sita kuanzia sasa.................zinamwondoa mlalahoi mijini na vijijini kabisa........... sasa umeme vijijini wa nini kama hakua anayeweza kuutumia kwa maana ya kuumudu gharama zake?

  kichekesho kipo katika kuwataka watumishi wa Tanesco walipe bei za kibiashara lakini wazenji waendelee kubebwa kwa maana kuwapa hongo wabaki katika Muungano feki....soma Bei ya umeme juu .....................ujing wa wenzetu katika EWURA ni kuwa watumishi wa tanesco matumizi yao ni madogo sana ukiyalinganisha na yale ya wazenji....................na Tanesco ukiwanyang'anya hiyo motisha bado watabuni nyingine ya kufidia hilo pengo........................ikiwemo kutolipa kabisa kwa kupeana allawansi ya gharama za umeme ambayo yaweza kuwa inazidi hata matumizi yao khalisi....................................na sidhani kama ni busara kuwanyang'anya motisha huo.......................ni sawasawa kumweleza dereva alipie basi analoliendesha kama vile safari anaihitaji......................mzalisha umeme hapaswi kuulipia kwa gharama tajwa.........iila kumbagua mzenji kwa sababu yoyote ile ni kumjengea mazingira ya kuwa tegemezi na kumnyima nafasi ya kujitafutia maendeleo yake ya kweli.............
   
Loading...