Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu nimeibiwa Tshs. 10,000 na Tigo-Pesa. Nilitaka kununua umeme wa LUKU kwa njia ya Tigo-pesa. Nikafuata taratibu zote wakanipa na reference number. Baada hapo sikupokea chochote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetangaza kurudisha Mchujo kwa Wanafunzi watakaofanya Mtihani wa Kidato Cha 2 kuanzia mwaka huu!Serikali kupitia Wizara ya Elimu iliondoa mchujo huo miaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wanajf; haya ni mawazo yangu, nini mawazo yako ktk hili? nimekuwa nikifuatilia majukwaa mbalimbali ktk jf na nimekuja kugundua kwamba jf ina member wengi sana na ktk hao members kuna wanawake kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika hali ya kustaajabisha na kutishia usalama wa abiria na mali zao wafikapo uwanja wa ndege wa dar es salaam hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa la ujambazi wa magari na sasa wamemaua kuaanza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilimuona Lowassa akiwa Kigoma kuchangia shughuli za ujenzi wa shule. Je haoni kuwa kwa shule ile ambayo hata madarasa hayo matatu hayakuwa yamefungwa linta yanamshushia hadhi...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Ni mwendelezo wa nilichokiona na katika hatua hii ya mwisho ntajaribu kuongea juu ya mambo yafuatayo Huduma za jamii,shule za kata ni nyingi matatzo ya shule hzi ni yaleyale ya siku zote ila kuna...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mkuu Masoud kipanya kwenye katuni hii lunch yangu imeshuka vizuri sana!
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Nani amekwambia shoga aokolewi shoga aendi mbinguni loh sikiliza 99.2 fm shoga maarufu aka aunt odemba ama aunt mbiki ameokolewa akiadithia ana miaka mitatu sasa ajawahi kuonjwa wala kuguswa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo EWURA wanatarajiwa kutoa bei mpya za umeme kufuatia kukamilika kwa mchakato wa kuomba bei mpya uliowasilishwa na TANESCO. Ombi lao lilikuwa ni kupandishwa kwa 155% ya bei ya sasa. Hii ni kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
China imejaribu, imeweza na inasonga; yaani tower kubwa zaidi ya ile ambapo wakati inajengwa ilidaiwa Liumba kutafuna Bil 200, inajengwa kwa siku 15. Sio hadithi, angalia video: 30 STORIES...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Wanajamii, mi nimelazwa hapa Marangu Hospital tangu jana usiku, ila cha kusikitisha ni kuwa sijapata huduma inayostahili hadi sasa! Usiku nilipewa pain killers na dawa ya usingizi. Asubuhi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Swebe amethibitisha kutokea kwa kifo cha msanii saidi fundi maarufu kwa jina la mzee kipara. Source east afrika radio.
0 Reactions
105 Replies
14K Views
Holla Amigos! Mi ni mteja wa nbc tangu mwaka 2007 na nilifungua student account kipindì hicho na nimei2mia from that tym had mwaka huu. Weirdly leo nimeenda ku withdraw my money kwnye branch ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jf habarini. Leo wananchi wa Kasulu mjini wanapata fursa ya kuchangia katiba mpya. Niko njiani naelekea Kasulu nitawafamisha nini kinajiri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAKUMBUKA nilipokua shule ya msingi na sekondari nili imba sana tena kwa shangwe na hamsa kubwa . nili imba TANZANIA TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE, NA NILALAPO NAKUWAZA WEWE PIA NIAMKKAPO NI...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za nishati na Maji(EWURA) leo inatarajia kutangaza bei mpya ya Umeme,baada ya kupokea maombi ya TANESCO SOSI:MWANANCHI MY TAKE:WATANZANIA TUJIANDAE NA KIBANO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
serikali kwa kushirikiana na Manispaa waribuni miradi ya viwanja elfu 20, ili watu wajenge makazi bora, viwanja viliuzwa bei ghali sana ukilinganisha na kipato halisi cha Mtanzania, watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nasafiri na gari moja la abiria linaloelekea vijijini huku ruvuma songea.kama kawaida mdahalo kt y drv n trfk ulnz hofu yangu ni kwamba inaonekana hz lsn zmchlwshw kw mksd ili kwp ulaji hawa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakazi wa kota za kaloleni mjini arusha wamegoma kuziachia nyumba zao ili kupisha uwekezeja.hili limetokea leo walipokutana na mkuu wa mkoa.wahoji muekezaji huyo ni nani?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Bei mpya ya umeme inatangazwa rasmi tayari kwa kuanza kutumika hivyo wananchi tujiandae kwa hilo. Wana nchi tunaumizwa na viongozi wasiokuwa na huruma kwa wananchi wao...
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Back
Top Bottom