CHADEMA MFUKONI?Chadema yaandaa maandamano kupinga bei mpya ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA MFUKONI?Chadema yaandaa maandamano kupinga bei mpya ya umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Jan 13, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135


  My take

  Hii ilisemwa na chadema 2010 Je walikuwa wanatishia nyau?

  Je wemezidiwa kete? tarehe 15 January 2012 umeme unapanda kama kawaida na watu mtanunua:nerd:
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mbona unatapatapa sana mkuu ,thread ya pili same story...piga mbizi
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,972
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Labda ni mjumbe.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Achaneni na mpayukaji huyu!

  Means zote zikishindikana , Altenative ya mwisho inakuwa Chadema na Mnyika!!! shame on you!
  Nyie hamuwezi kuwaconfront Magamba wenu?, kwanini msisusie kama mnajiamini?
  Kumbe mnatambua vyema kazi ya upinzani na maandamano yao eeh?, kelele sasa za nini?
  Acheni bei ipande sana , mimi natamani unit 1 ingefikia Tshs500, ndiyo mngetia akili!..Alaaaa!

  Huko ndiyo kuthubutu na kuweza tunakoimba!
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ata anaye watetea mnamchukia!? kweli nyie haramu. iungeni mkono chadema katika kutetea uporaji wa haki na mali asili unao fanywa na ccm.Mia
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kumbe mnatambua kwamba bila chadema mambo hayaendi? kwanini msiingie mtaani ninyi wenyewe?

  Waongeze tu hata kwa asilimia 400 ili muendelee kusonga mbele.
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Ipande tu, ikipanda maisha na gharama zake vitakuwa juu kinyume na uwezo wa serikali kuwalipa watumishi wake mishahara. Kitakachotokea ni kupingwa kwa ccm na makundi ambyo siku zote ndo watetezi wa ccm. Natamani na jshi la police, magereza, na wananchi nao waanze kulipia huduma hizo kadri watumiavyo
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  unaonewa na nani we stomarch?ndo mana umenyang'anywa kitengo.fanya kazi uweze ku afford gharama za maisha sio kulalamika kama mtoto wa kike.au unataka bure.
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wrong approach
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 11. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280

  Mtu mdogo hawezi kutumia zaidi ya Unit 50 kuangalia matangazo ya TV za Bure (Star TV na TBC), kuangalia kwaya kwa ajili ya kujifariji, kuangalia wanenguaji kuamsha hisia za kitandani. Wasiwasi wangu ni bei ya kusaga nafaka ambayo ndio chakula chetu kikuu

   
Loading...