Jamani hivi kuna watu wako juu ya sheria? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hivi kuna watu wako juu ya sheria?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisoma, Jan 13, 2012.

 1. K

  Kisoma Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habri wana JF?leo ningependa kushea na wana JF experience yangu then itakuwa topic 4 discussion.
  leo jioni wakati natoka kwa mihangaiko yangu kulikuwa na bonge la foleni Tabata kuelekea Tazara.
  wakati huo kulikuwa na msururu wa Lory za jeshi (Iveco)kama tano hivi.
  wale wanajeshi kuona vile wana JWTZ wakahama barabara msafara mzima wakahamia upande wa kwenda Ubungo (walikeep right),kufika Buguruni Sheli wanakutana na trafic,anawarudisha wafuate sheria za barabarani wanakuwa wakali na hadi kumtishia trafiki kumgonga na kumtukana!
  je kuwa mjeda kunahalalisha kuwa juu ya sheria na taratibu?
  hii inarejelewa na vitendo vingi vya ukorofi wanavofanya hawa wenye dhamana ya kulinda nchi yetu.
  Nawasilisha.
   
 2. p

  pilu JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kua mjeda kamwe si sababu ya kuvunja sheria, labda kungekua na dharura kwa mfano Vita hapo ingekua sawa, kwa kweli hiko ni kitendo cha Kutiaaibu si kwa uongozi wa juu tu{RAIS},pia kwa nchi nzima, ndo zao tumesikia mara kadhaa hata wakipiga raia.
  Ni vema wazingatie sheria za nchi na kwa kufanya ivo watakua mwangaza kwa jamii na jamii itawaheshimu na kuwaamini.
   
Loading...