PauloKichaa
Senior Member
- Jun 6, 2011
- 122
- 39
Madaktari wameanza kuwasili kutoka mikoa mbalimbali kwa ajili ya mkutano wao wa dharura siku ya Jumamosi kesho saa tatu kamili kujadili swala la sekta ya afya nchini na maslai yao...Je yanataka tokea ya Kenya?