Mh,Mwanjelwa azomewa sido!

Bhavick

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
314
57
Akihutubiwa mkutano wa hadhara ktk maeneo ya Sido,amekutana na zomea zomea,baada ya kushindwa kujibu maswali ya wakazi na wafanyabiashara wa hapo!ikamlazimu kukabidhi maiki kwa Mc,na kupanda gari,ndipo wananchi wakaanza kuimba Sugu rais na kumwita Mary fisadi.
 
hivi yule mama bado ana ndoto za kuchukua ubunge wa mbeya mjini?hajui kusoma alama za nyakati au analazimishwa na ccm?
 
Haka kamama kanadanganywa eti 2015 katachukua jimbo la Mbeya
 
Akihutubiwa mkutano wa hadhara ktk maeneo ya Sido,amekutana na zomea zomea,baada ya kushindwa kujibu maswali ya wakazi na wafanyabiashara wa hapo!ikamlazimu kukabidhi maiki kwa Mc,na kupanda gari,ndipo wananchi wakaanza kuimba Sugu rais na kumwita Mary fisadi.

Amepona kipigo?? maana watu wa Mbeya hawanaga unafiki ndiyo maana hata Mkuru alipojifanya kuwaletea mambo ya u-handsome wakaona wacheki naye kwa mawe.
 
Nadhani anastahili kukamatwa na kushtakiwa. Hiyo zomeazomea haimtoshi. Anakesi ya kuiba taulo za kuoga hotel ya Arusha Tulip hapa jijini Arusha. Angepigwa hata mawe au kuchomwa tairi maana ni kibaka huyo!
 
Kuna jamaa alikuwa anatetea C.C.M kwa nguvu zake zote wananchi wamemzonga na kuambulia kipigo kikali. Wananchi wote walikuwa wanashangilia CHADEMA huku vidole viwili vikiwa juu.
 
hivi yule mama bado ana ndoto za kuchukua ubunge wa mbeya mjini?hajui kusoma alama za nyakati au analazimishwa na ccm?

huyu si alikamatwa kaiba mataulo ya hotelini Arusha huyu....au namfananisha? ndo huyu huyu
 
kuna siku nilikaa na huyu muheshimiwa kama lisaa limoja hivi....tulipiga story nyingi sana za kisiasa.
Wana JF hamuwezi amini huyu mama anaipenda CDM kupita maelezo na anamkubali Sugu kupita maelezo.
Nilipomuuliza kwanini asihamie CDM? jibu lake likawa ninaogopa kurudishwa maili 100 nyuma na CCM pia
naogopa yaliyomkuta pot wangu Mwakyembe....akamalizia kwa kusema lakini ipo siku nitaenda chama chochote kile
 
Kuna jamaa alikuwa anatetea C.C.M kwa nguvu zake zote wananchi wamemzonga na kuambulia kipigo kikali. Wananchi wote walikuwa wanashangilia CHADEMA huku vidole viwili vikiwa juu.
Ahsante mkuu! Lakini sababu ya kuzomewa ni nini? na sababu za kupigwa huyo kijana ni nini?
 
Nadhani anastahili kukamatwa na kushtakiwa. Hiyo zomeazomea haimtoshi. Anakesi ya kuiba taulo za kuoga hotel ya Arusha Tulip hapa jijini Arusha. Angepigwa hata mawe au kuchomwa tairi maana ni kibaka huyo!
Mkuu,pamoja na kuwa mie siipendi ccm lakini kwa hilo swala la mataulo mie nitamtetea huyu mama hadi asubuhi.
Amini nawaambieni huyu mama hana dhiki ya kuiba matauro....huyu mama kimaisha yuko level nyingine na hafanani na
unachokisema hapa. Huyu mama ni mpiganaji sana ila amekosea kwenda chama cha magamba.full stop
 
CCM kwa mbinu hizi zaifu hatuiwezi Mwanjelwa, wananchi wanachoamini CCM ndiyo mamlaka hivyo kwetu hawatarajii blabla, wala sura ya mtu. nadhani la msingi ni kukaa chini kuangalia tumejikwaa wapi? hoja ya kusema mh. wa zamani yaani Mpesya walimchoka ndiyo sababu ya kutompatia kura kwa mtazamo halisi wa mda mfupi si kweli bali ccm inalo tatizo na suluhu si kuficha tusemezane wenyewe. juzi ccm waliita mkutano wa wana ccm wote wilaya kwa ajenda ya kuwataka wana ccm kutosita kuchangia kwenye mswada wa katiba mpya, bila kusema kama ccm wilaya inaratibu vipi zoezi hilo na ni namna gani mawazo hayo yatafika mahala stahili, tumezoea vikao vyetu m/kiti anasema point taken angali akijua hakuna mwandishi wa miniti.
 
Ahsante mkuu! Lakini sababu ya kuzomewa ni nini? na sababu za kupigwa huyo kijana ni nini?

Tatizo vijana walipo anza kushabikia CHADEMA yeye aka anza na UCCM. Wakati huo wahusika wakuu tayari walikuwa wameondoka yeye akaleta ujuaji kubishana na kundi la watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom