Rc Ishengoma avunja mwiko wa viongozi kuogopa ziara masika wilaya ya Ludewa

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,883
DSCF8215.JPG
DSCF8208.JPG


Picha Kushoto:
Gari la mkuu wa wilaya ya Ludewa Geogina Bundala likishindwa kupita katika barabara ya Milo kutokana na barabara hiyo kuharibika kwa mvua ,gari hilo na lile ya CCM ambalo yalishindwa kuvuka eneo hilo la Mlima wa Kigasi na hivyo kurudi Mlangali

Picha Kulia:
Msafara wa mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt Christina Ishengoma ukiwa umekwama kwa muda mlima wa Kigasi Milo Ludewa huku mvua kubwa ikinyesha jana

DSCF8204.JPG
DSCF8202.JPG


Picha Kushoto:
Askari polisi wa wilaya ya Ludewa akinyeshewa na mvua wakati akishughulikia njia ya kupita msafara wa mkuu wa mkoa wa Iringa na mbunge wa jimbo la Ludewa ambao walikuwa wakielekea katika ziara ya kikazi zaidi

Picha Kulia:
Dereva wa gari la mkuu wa Mkoa wa Iringa kulia na dereva wa gari la mkuu wa wilaya ya Ludewa kushoto wakijadiliana jinsi ya kupitisha msafara huo katika eneo la mlima Kigasi ambalo lilichafuka kupita kiasi jana
 
Moyo wa utendaji ambao baadhi ya viongozi wakiwa nao huchochea wengi kujituma hata katika kipindi kigumu. Tunao watendaji wengi tu wazuri, ila kinachokosekana ni kuamshana na kuwa tayari kutumikia. Hapa Mkuu wa Mkoa wa Iringa anatuonyesha mfano. Kaka yake Mzindakaya ndiye Mtekechi wa Madini ya Ludwa.
 
Back
Top Bottom