Polisi wakamata madawa ya kulevya yenye thamani ya SH6.13 bilioni mkoani Lindi

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.
Polisi mkoani Lindi wakishirikiana na kitengo cha madawa ya kulevya, wamewakamata watu wanne raia wa Tanzania..

Wanaume wawili na wanawake wawili mmoja ni mtoto wa Liyumba, wakiwa na madumu sita yakiwa yameifadhiwa madawa ya kulevya zaidi kilo 200 yenye thamani ya bilioni 6.13 yakielekea nchi za kusini.

Serikali yetu ipo wapi Tanzania imekuwa njia kubwa ya kupitishia madawa ya kulevya.

SOURCE: TBC1 HABARI.
 
Back
Top Bottom