Ni kweli tanzania tunahitaji kizazi chenye maadili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kweli tanzania tunahitaji kizazi chenye maadili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Vitalino mlelwa, Jan 13, 2012.

 1. V

  Vitalino mlelwa Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huwa sielewi kitu kimoja majukwaani viongozi hupiga kelele kuhusu maadili lakini wakiombwa kuchangia mashindano yanayohamasisha uvunjifu wa maadili ni wa kwanza kwa michango mfano wa mashindano ya miss Tanzania mashindano ambayo wahusika hupita kukwaani nusu uchi huku watu na akili zao wanashangilia kwani hawawezi kupita na nguo za heshima nawakaonekana wazuri najua mavazi siyo tabia lakini uvaaji wa mtu humfanya umtambue tabia yake pia.
   
 2. p

  pilu JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usicheze na siasa hatakidogo,maana kwenyekutafuta umaarufu hua hawachagui hawabagui jambo la kufanya mkuu!
   
Loading...