Migomo:Order of the day in Tanzania

Gvampa

Senior Member
Dec 21, 2011
100
13
Wana JF,habari za asubuhi!Nimeamka asubuhi ya leo nasoma magazeti nikapata hili wazo maana imekuwa ndio kama ka utaratibu kwa nchi yetu kwa miaka michache ilopita na kwa mtizamo wangu itaendelea sana tu kama hatua madhubuti hatizachukuliwa na watawala wa sehemu mahalia.Hii inatokana na ukweli kwamba hakuna maamuzi yanayofanyika kujibu changamoto na hoja mbalimbali za wananchi katika nyanja tofauti tofauti bila kuanza kwa mgomo,au mzozo kufikia hali mbaya na wakti mwingine athari za tatizo zimeshatokea ndiyo utasikia kiongozi katoka,tamko latoka,tume/kamati maalumu yaundwa;yaani nchi inaongozwa kujibu athari za matitazo badala ya chanzo na matokeo yake ni kwamba machache sana kati ya hayo hupatiwa ufumbuzi wa kudumu mengi nguvu ya soda kwa mfano waalimu,umeme,elimu ya juu,madaktari,ajira na hivi karibuni madereva wa malori.Itafika kipindi kila mtu na fani au sekta anayojihusisha atagoma ndo itakuwa ile mambo ya wenzetu 'Arab Springs' afu tuanze kumtafa mwizi wakti tatizo lipo na tatuzi inaweza patikana ila nachoona kwa viongozi imebakia ile kitu wenze wanaita 'business as usual' vyovyote upepo unapopeleka twende tutajua mbele kwa mbele,yaani utashangaa mpaka kuna wengine ambao haukutegemea hata nao wamekwenye hilo umbwe hili hali inatupeleka mahali ambapo sio pazuri,nawasilisha!
 
Back
Top Bottom