Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Madhara ya rushwa ni makubwa zaidi pale yule anayeidai anapochelewesha huduma au kuifanya kwa kiwango cha chini ili tu kusababisha apewe rushwa. Taratibu sheria na kanuni ndio sumu ya kummaliza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mgomo baridi unaoendelea wa walimu impact zake kila mmoja ameziona kwenye elimu ya Tanzania kwa sasa baada ya serikali kutumia mabavu. Swali langu kama madaktari wataamua kurudi kazini na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Balozi wa amani(Nd. Risasi Mwaulanga) kushirikiana na zitto kabwe wanatarajia kufanya matembezi kutoka dar mpaka moro kwa miguu,lengo ni kuhamasisha vijana wajikite kwenye kilimo,anasema tanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Basi la kampuni ya New Force lenye namba za usajili T666 BCR lililokuwa likisafiri kutoka jijini Dar es Salaam Kwenda Mkoani Mbeya limepata ajali na kuua watano papo hapo. Akizungumza na mtandao...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hawa TBC1 siwaamini kwani wamekuwa wanachakachua habari kwa kuondoa vipande wanavyoona vinaleta sura tofauti na matakwa ya serikali.Mfanno jana wameonyesha Dr.Mwakyembe na Sita wakitoa hotuba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Juzi nililazimika kumsidikiza rafiki yangu ambae alimpeleka mtoto wake wa miaka minne ambae alimeza pini ya kubania karatasi.Katika hospitari ya rufaa ya mkoa wa Dodoma hakupata huduma kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana baada ya kuona tawi la ccm maeneo ya imalaseko kwa mashoeshiners ambalo lipo ndani ya barabara, nikashangaa sana kujiuliza hivi nape hajui sheria au sheria haitambulikani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kweli its about time now we need arab spring, Kama walivyoainisha waliochangia mkutano kule davos nafikiri ni kweli kabisa sasa tanzaniania tunaitaji maandamano kama ya arabuni ya kumtoa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi, nimepita hapa Nyantare Social Hall Tabata bima, magamba wamesheni, sikuelewa mara moja mkutano unahusu nini! Kuna mwenye kujua ni nini kusudi la mkutano huu? Hi itatusaidia wapambanaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
natamani sana niwe hai siku chadema ikichukua nchi hii,nishuhudie yafuatayo 1.hakuna UFISADI kabisa kila sheria itafuatwe,mesheni town zote zifungwe,short cut zote zifungwe tushuhudie mafisadi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WADAU JF:<BR>Nimeiona picha hii kwenye blog ya Mjengwa, ikabidi niwaletee hapa tujadili jinsi nchi yetu inavyoibiwa. Kama hili Jengo ni kweli limeghalim $1 M tu , basi ufisadi nchini mwetu...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ni kweli mikono yangu imeloa damu. Nahisi damu ya dhuluma, tena dhuluma ya uhai wa kiumbe ambacho kilihitaji kuishi. Aaah! Moyo unaniuma sana lakini walisema Wahenga kuwa maji yakimwagika katu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kutokana na amri ya waziri mkuu hatimaye madaktari wamedhamiria kuongeza makali ya mgomo.kwa kusitisha huduma za dharura.hii ni hatari kuliko ilivyofikiriwa.
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimejaribu kuwaza na kuwazua nikagungua kuwa Rais wetu hana mapenzi na wananchi wake bali yupo madarakani kwa ajili ya kujitafutia maslahi yeye binafsi, anahangaika kutafuta sifa na international...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mambo wanajf?? Kuna wizi mkubwa unafanyika TIGO kitengo cha tigo pesa!! Wafanyakazi wa hicho kitengo wanaswap line za wateja wao esp Agents wa tigo pesa na kureset password then wanachukua pesa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mkazi wa kijiji cha Mohoro rufiji, Saidi Makwangu, amemuuliza Mwenyekiti wa kijiji hicho nini kifanyike kufuatia mwanae kufaulu mtihani wa darasa la saba wakati hajui kusoma wala...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ban Kimoon kaamua kuweka wazi matakwa ya taasisi yake kuwa ushoga utambuliwe katika nchi za Africa kwani wamechoka sasa na msimamo wa miaka mingi wa Africa kutotambua haki za mashoga...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Napendekeza kipindi cha Dk 45 kimtafute Mzee Mwakyembe ili kufanya mahojiano nae. Nahisi kuna kitu anataka kuongea. Vipi hilo wana jamii
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kila dai linalowekwa mbele ya serikali linaburuzwa na kupigwa danadana hadi wahusika wanatishika na kuamua pangine kuachana na madai yao. Machache ni kama haya: 1. Madai ya wanafunzi wa vyuo. 2...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hawa ni wakazi wa kitongoji kimoja kinachoitwa castro katika jiji la san fransisco nchi marekani wakiandamana kupinga sheria inayowakata kuingia na kupata huduma wakiwa uchi katika...
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Back
Top Bottom