Dear Members
Natamani mkusanyiko huu wa ACTIVE members JF ungelikuwa ni bunge fulani hivi likiwa na Speaker,Waziri mkuu,Mawaziri na wabunge kutoka vyama tofauti...
je tungepewa fursa ya...
Hii ni aibu jamani jamani
nimesoam gazeti natoa machozi tff wamewaka million 2 timu ya taifa ya wanawake
kutoka million 10 walizopewa na wabunge...wakiongea kwa uchungu wachezaji hao ambao...
Ni siku kadhaa katika kufuatilia yanayojiri nchini,vyombo vya habari,baadhi ya viongozi
na baadhi ya kamati za bunge kwa kuonesha bidii katika kazi na uzalendo wa hali ya juu
kudhibitisha kasi...
Dodoma ni mji ulio katikati ya nchi. Mji ambao ndio uliopewa hadhi ya kuwa makao makuu ya serikali. Sifa hizi chache zinafanya uwe ni mji unaopokea wageni kwa wingi kutoka pande zote za nchi...
chadema oyeeee
waweza toa maoni yako kuhusu na website mpya ya dr slaa kupitia mtandao wake mpya
MAONI YANGU
nimefurahishwa na hatua aliyoifikia mheshimiwa slaa na ni mwendelezo mzuri wa yeye...
Katika taarifa ya habari tarehe 26.1.2011,waziri Maige akiwa Hifadhi ya Taifa Saadani ulio agizo kuwa TANAPA iajiri wananchi wanaoishi karibu na Hifadhi hiyo, marufuku kuajiri wasio wakazi wa...
Wana JF katika pitapita zangu kwenye mtandao leo nimejihudhurisha kwenye Tovuti Rasmi ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika kusoma habari mbalimbali hapo mtandaoni nikakutana na hii...
Ile hali ya magazeti yetu tuliyoyategemea kuwa na balanced info sasa yanaonesha kuyumba na kuelekea kupoteza weledi, nahau Lakini machache ni
1. Mwananchi imelaumiwa sana na serikali na hasa...
Naombeni kujuzwa kwa mwenye uptodates kuhusu wale walimu wenye shahada waliokosa ajira! Mke wangu ni mmoja kati ya waliokosa,maana hadi sasa kimya kimya, hakuna tamko au kauli yoyote toka wizarani...
Huduma zinazotelewa na baadhi ya wabunge kwa wapiga kura wao haziwezi kuhalalisha kwamba serikali iwaongezee wabunge posho za ziada kwa kuwa wanaishiwa kutokana na kutoa misaada kwa wapiga kura...
Ni baada ya Polisi mmoja kumjeruhi mwanafunzi wa kidato cha 3 wa shule moja ya Morogoro kwa kumpiga risasi mguuni siku ya maandamano ya kupinga wanafunzi wa Ndanda , Mwandishi wa jamboleo...
Hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Afya Dkt. Mponda wakati akiongea na media jana tar 26. By the way hivi malipo ya wenzetu hawa yakoje?
Tuwekane wazi wadau.
Nimepata habari hii kupitia sms ya mkononi ikinitaka kutuma kwa wananchi wengi zaidi, watu kuandamana siku ya tarehe 30 January 2012 saa tatu asubuhi kuelekea viwanja vya kisutu, kidongo chekundu...
Ukitaka kushangaa yanayo tokea nchini utachanganikiwa sana:
Wakati Tanzania ikiwa imeridhia mkataba wa kimataifa wa kutekeleza na kulinda haki za watoto na kusimamia kwa karibu ulinzi wa haki za...
Nimekaa nimefikiria mpaka sasa nachanginyikiwa tusaidiane kutafakari hili
Hivi karibuni Rais wa Zanzibar na aliapishwa hadharani kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri(tukio hili sikuwahi kuliona...
Habari wana jf,leo katika taarifa ya habari za michezo pamoja na kwenye baadhi ya magazeti kuna taarifa kuwa zile sh.milion saba timu ya wanawake ya Twiga walizochangiwa na timu ya wabunge...
Zaidi ya marehemu Regia kuwa mwanachama wa jf, pia alikuwa mwanasiasa. Wa chama gani, hapa ndio penye uzito wa mada hii. Ni ukweli usiofichika kuwa Regia alipendwa na kukubalika ndani na nje ya...
nipo Burhani Charitable Health Centre, Wagonjwa ni wengi lakini kuna jamaa wanaendelea na Ujenzi (marekebisho ndani ya hospitali).
Wanatindua zege, wanapiga kelele vibaya mno, nimewaambia...
From Yahoofriends.
"KUMEZUKA WIMBI JIPYA LA UHALIFU, HII IKO NAMNA HII:- UNAKUTA MFUKO WA NYLON( MAARUFU KAMA MIFUKO YA CONDOM,RAMBO,PLASTIC) BARABARANI . UKIUKANYAGA TU LAZIMA UTAPATA PUNCHER...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.