Pesa za kuongeza posho za wabunge fasta ila madaktari tukae tujadili kwanza its time for arab sprin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa za kuongeza posho za wabunge fasta ila madaktari tukae tujadili kwanza its time for arab sprin

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Livanga, Jan 30, 2012.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kwa kweli its about time now we need arab spring, Kama walivyoainisha waliochangia mkutano kule davos nafikiri ni kweli kabisa sasa tanzaniania tunaitaji maandamano kama ya arabuni ya kumtoa kikwete na wenzake(Arab spring) kwani ujinga na ufujaji wa pesa za walipa kodi unaonekana wazi. Mambo muhimu hayapewi kipaombele bali yale yenye maslahi kwao ndio yanayopewa kipaombele. Au kwasababu wao wakiumwa wanakimbizwa india? kwa kweli inauma sana.
   
 2. Capital

  Capital JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,036
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Seconded mkuu. Kuendelea na kikwete ni sawa na kuwa na jipu kuubwa kwapani, linakuumiza halafu unasita kuliminya. Kikwete ni jipuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Tuliminye litoke. Pa kuanzia ni mzozo wa Madaktari, upenyo tumeshaupata, tunasubiri nini?
   
 3. u

  uwingu Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuiangalia kwa juu juu hoja yako inaweza kuonekana ina uzito. Hata hivyo yafaa kujiuliza huko ilikoanzia Arab spring hali ikoje hivi sasa? Wana serikali nafuuu zaidi kuliko walizoziondoa? Kama unafuatilia hali ilivyo Egypt utakuwa umeona kwamba hawana cha kusherehekea bali majuto. Baada ya kumuondoa na kumdhalilisha Hosni Mubarak sasa wameligeukia jeshi. Hali imekuwa kinyume na matarajio ya waliokuwa wakikesha pale kwenye uwanja (tahrir square). Vivyo hivyo hali ya Libya. Hata jumuiya ya kimataifa iliyosaidia kumwondoa Gadaffi sasa wameduwaa. Hali haina nafuuu yoyote. Ni kama wale "wakombozi" wanasema its our time to eat. Na siku zote the cake will not be enough for everybody. Now its for the mighty to eat. Ujumbe wangu hapa ni kwamba whatever the decision, one needs to think twice. Yafaa kufikiria hiyo Arab Spring itazaa nini na kwa manufaa ya nani. Je, hayo mazingira kwa ajili ya manufaa yanayotarajiwa, yapo? I submit.
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  uoga wetu ndiyo mateso na umaskini wetu.
   
 5. herrypeter1

  herrypeter1 JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2009
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  at the end we say the winner is.....................................
   
 6. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  we need a revolution spirit......
   
 7. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mbona Tunisia huisemi, mambo mswano kule
   
 8. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,447
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Sio kwapani mkuu hapo haliumi sana na unaweza ukalala, jipu la kwenye masaburi
   
 9. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,447
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Pendekeza nini kifanyike sio kutoa mlolongo wa maneno na historia. Kama wewe sio mmoja wao hali halisi ya watanzania unaiona, je ni mungu kapenda iwe hivyo au ni viongozi wetu
   
Loading...