Tanzania tunaibiwa: Benno ndulu atueleze vizuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tunaibiwa: Benno ndulu atueleze vizuri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyumbu-, Jan 30, 2012.

 1. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  WADAU JF:<BR>Nimeiona picha hii kwenye blog ya Mjengwa, ikabidi niwaletee hapa tujadili jinsi nchi yetu inavyoibiwa. Kama hili Jengo ni kweli limeghalim $1 M tu , basi ufisadi nchini mwetu unatisha. Hii naisema kwa sababu nyumba ya Governor wa fedha ilighalimu $1M na haiwezi kuwa hata robo ya ubora na uzuri wa jengo hili. Hivi kwanini tumefikia level hii ya wizi usio aibu?


  [​IMG]Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa leo na Rais wa China Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa leo January 29,2012 Jengo hilo, ambgalo limegharimu dola milioni za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China (PICHA NA IKULU)
  [​IMG] [​IMG]
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haya yote ni kwa sababu ya kikwete
   
 3. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kamsome tena mkuu, hiyo figure yako sio yenyewe.................. kama sikosei gharama za jengo hilo ni zaidi ya bil 200 za bongo............... sasa convert mwenyewe kwenye USD..................
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Penye red!!!!!!!! jamaa hajataja ni dola million ngapi na katika mazingira ya kawaida huwezi ukajenga jengo kama hilo kwa dola millioni moja ambayo ni sawa na Tshs 1.6Billion. Tafakari kabla hujaanza kulalamika mkuu
   
 5. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Construction of the 99.9 metre-tall building was wholly funded by the Chinese government at a cost of $200 million. Even the furnishings were paid for by the Asian powerhouse, and most of the construction material was imported from China.

  Source: New AU headquarters marks strong China-Africa ties - Yahoo!
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  20789195224487118f6aojy1.jpg

  au.jpg

  3414914439_a1166d7124_o.jpg

  3414914497_8ddc4c757c_o.jpg
   
 7. S

  Snitch Senior Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo tunatengenezana kuwa walalamishi tu,
  Yani nikuleteana na kukalamika tu hatusuguani vichwa kwa hoja na kuelimishana humu...

  A brain sometimes is like an empty bottle , whatever you fill is what it is going to occupy.... Upupu tu huna ushahidi unakurupuka tu unaleta humu....hebu tujitahidi tuelimishane mambo ya msingi
   
 8. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwaka huu sitaki kulalalimka - Zitto Kabwe
   
 9. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tutakuwa na taifa la walalamikaji mpaka lini? - Mh.Zitto Kabwe
   
 10. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,224
  Likes Received: 1,071
  Trophy Points: 280

  Nyumbu unauhakika hauna hang-over kweli?hebu kunywa supu kwanza then urudi jamvini!
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaani mawazo yangu yote ni kusubiri kumwagika majiani kuangusha utawala uliopo..Period!!!!!
   
Loading...