Dk 45 imtafute Mwakyembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dk 45 imtafute Mwakyembe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbogo Junior, Jan 30, 2012.

 1. M

  Mbogo Junior Senior Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Napendekeza kipindi cha Dk 45 kimtafute Mzee Mwakyembe ili kufanya mahojiano nae. Nahisi kuna kitu anataka kuongea. Vipi hilo wana jamii
   
 2. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Hana kipya cha kuongea. Nae ni fisadi tu kama walivyo wengine. Kamati yake imetumia mamia ya mamilioni kuzunguka nchi mbalimbali za dunia hii ktk kutafuta ukweli wa richmond. Matokeo yake anakuja kutueleza kuwa "kuna mengi anayajua na hayapo(hakuyaandika) ktk ripoti yake".

  Kama si ufisadi ni nini? Tumetoa pesa yetu ili tufahamu ukweli, then tunayempa kazi ya kututafutia ukweli anaupata na kuamua kuuficha sijui kwa maslaha ya nani!! Hata kama leo akiibuka na kusema let say MBAVU ZA MBWA nae anahusika ktk richmond, nani atamuamini? Utakuwa ni uzushi tu kama zilivyo zushi mbalimbali katika vijiwe vyetu vya kahawa/mahindi ya kuchoma.

  NAYE NI FISADI TU, HANA LOLOTE. Kuhusu dk 45, kimantiki ni kipindi kizuri. Ila nadhan kwa maoni yangu nadhani hakijapata muendeshaji mzuri. Amekuwa akifunikwa sana na anaowahoji "inakuwa kama anapewa darasa na yule anaehojiwa".

  Pia dk 45 imekuwa kama kisemeo cha CCM na serikali yake. Mpaka sasa hatujawaona viongozi wa vyama vya siasa, NGO's, viongozi wa dini na wanataaluma mbalimbali. Kwangu dk 45, hakina mvuto kabisa ingawa huwa sikikosi kabisa.
   
 3. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kama anataka kuongea lazima asubiri kp cha dk 45?
   
 4. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Naungana na wewe. Dhambi aliyotenda Dr Mwakyembe ya kuficha ukweli sasa inamtafuna, Hii ni laana ya wananchi wanaokufa kwa kukosa umeme mahospitalini.

  Hana mpya, kawadhulumu wa Tanzania kwa zawadi ya uwaziri! Fisadi tu na yeye
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Alafu aende akiwa amevua gloves na kofia
   
 6. k

  kiche JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Watanzania watu wa ajabu sana!!! Hivi mpaka leo bado kuna mtu anamwamini mwakyembe!!? Huyu bwana hana jipya,zamani nilikuwa nimemkubali sana lakini toka atamke kwa kinywa chake kuwa alificha ripoti!

  Imani yangu kwake ilitoweka,ni mnafiki tu,naamini kuwa kwa mfumo wa CCM si rahisi kumpata kiongozi bora, kansa ya kulindani ni hatari sana.
   
 7. k

  kwini Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dr Mwakyembe umefanya sehemu yako vzr sana na watanzania wengi wamekuelewa,usife moyo mana Mungu atakupa ushind mkuu.
   
 8. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kama Samwel Sitta, kila siku kulalamika. ..."CCM imenitendea mabaya sana, CCM imejaa mafisadi". Kama wewe ni msafi kwa nini unaendelea kukaa ktk dampo? Binafsi naamini, kila kilichopo dampo ni kichafu. Kwa nini usihame na kwenda CCJ? Ama lah, rudi Urambo ukalime tumbaku. Au ndo tuamini kuwa, Baniani mbaya kiatu chake dawa! Means, CCM ni mbaya ila maslahi yake matamu. l
   
 9. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mwakyembe, sasa anakwenda kanisani kulalamika eti shetani kashindwa nimemshangaa sana.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Unaongea hapa kwa niaba ya nani? ni Watanzania gani waliokutuma kuongea haya? wewe ni sehemu ya watu wapumbavu, kama wewe ni msukule wa Dr Mwakyembe ni wewe, usizungumze kwa niaba ya Watanzania maana huna mamlaka hayo. Mwakyembe ni Traitor not otherwise.
   
 11. k

  kwini Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ujumbe utumwe kwa mwingine alipuke mwingne! Ni chuki binafc au?tehe teheee!big up mwakyembe wapo wengi wanaokuelewa
   
 12. Don Alaba

  Don Alaba Senior Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nikisoma hizi thread zinazomhusu mwakyembe na sitta nachoka sana kweli wabongo kigeugeu, imani kwao imetoweka!! Bongo na siasa za kusafishana na kuchafuana! Chuki ikitawala nyumba upendo hutoweka hakuna maendeleo, wanasiasa wabongo wamekosa maadili!
   
Loading...