Hii serikali inamuheshimu nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii serikali inamuheshimu nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Jan 30, 2012.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kila dai linalowekwa mbele ya serikali linaburuzwa na kupigwa danadana hadi wahusika wanatishika na kuamua pangine kuachana na madai yao. Machache ni kama haya:
  1. Madai ya wanafunzi wa vyuo.
  2. walimu (hasa wa sekondari na msingi)
  3. wafanyakazi (kama reli)
  4. madaktari.
  ukiangalia hivyo ni vitengo nyeti sana. Madai ya wadau hawa serikali hujibu kwa nyodo na vitisho ikiwa ni pamoja na kusimamishwa, kufukuzwa, hata kufungwa. Kwa nini serikali yetu hupenda tufike huko? Kama serikali haiheshimu maslahi ya watumishi wake inaheshimu nini? Wakati mwingine unaweza kuona kuwa gharama za kudhibiti hii mitafaruku ni kubwa kuliko gharama za kutekeleza madai. Matokeo yake tunapata majibu kama mtakula nyasi, kula uliwe, wivu wa kike, pigeni mbizi n.k. Hii serikali inamheshimu nani?
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Inawaheshimu mafisadi wote
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  wanajiheshimu wenyewe, si ndo maana wamejiongezea posho?
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Serikali corrupt haiwezi kuwaheshimu wananchi wake, serikali ya mabavu siku zote haidumu ipo siku hawa wanaojifanya wamepinda kama Pinda watapindwa tu
   
 5. s

  sanjo JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu serikali isiyo sikivu na iliyojaa rushwa huheshimu MAFISADI na wala rushwa wakubwa basi. Hawa ndio wadau muhimu wa serikali mbovu popote duniani.
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  serikali tz inawaheshimu wahalifu.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  for real guys, something unexpected should be done unto this govt.
   
Loading...