Kama kweli madaktari wanamsaada kwenye maswala ya utabibu kwa nini hospitali zinajengwa mochwari na zile ambazo hazina zinaandikiwa bajeti ili ziwe nazo?
Madaktari wote waliogoma waende kule...
Habari jf..
Tafadhali sana naomba kwa anaweza kunisaidia kupata mawasiliano na huyu mtu(ZUBERI MSABAHA ),ni mtangazaji wa Free Africa wa kipindi cha bolingo time,either email au vyovyote...
Ni katika kikao cha viongozi wa mataifa ya Afrika huko Addis Abbaba,Ethiopia,kilicho ambatana na ufunguzi wa jengo jipya lililo jengwa kwa msaada wa serikali ya China .Ki moon anadaiwa...
Wana jf nimekuwa nikifuatilia kwa makini hali inavyoenda na maoni mbalimbali kutoka kwa wananchi wenzangu,asilimia kubwa wakitetea madaktari kuhusu madai yao,ila moja tu la msingi nililogundua...
Wakuu Taifa letu kwa ujumla na serkiali "yetu" iko kwenye mgogoro na madaktari walio kwenye mgomo. Binafsi sijaelewa wazi chanzo na sababu na maudhui ya mgomo lakini nachtoambua sekta nyingi...
Mi nafikri mkurugenzi wa uhamiaji naona awe makini atapata laana sana kwa kuwanyanyasa
hawa wasomali kila siku kisa njaa za wafanyakazi wake ..hivi mnaona raha kutoa picha za wakimbizi
mnahisi...
Naomba kwa wale wana JF wenzangu wenye ueledi na mambo ya sheria za kazi wanijuze hili.
Kuna mfanyakazi wa serikali tena ni mkurugenzi wa halmashauri! Yeye ana kesi ya mahakamani. Hii kesi bado...
Mkuu Yahaya M. heshima mbele na pole kwa majukumu!
Nisikuchoshe sana mkuu wangu....nilitaka kujua tu Je, hao waungwana wawili hapo juu'kesho wataudhuria kwenye kipindi cha
tuongee asubuhi...
Wengi wetu tunaridhika na habari mnazo tupasha na pia mikakati yenu ya kufanya magogoni wakasikika. Mbinu na mikakati yenu ya kujifanya mnakosea spelling haina mbadala, ina wapumbaza timu ya...
kwa wale ambao tumemaliza katika vyuo hapa nchini na kufanikiwa kupata mikopo kupitia heslb, HESLB wametoa siku 21 tu iliyoanza tarehe 23/01/2012 ili uwe umewasilisha information zako kwao au kwa...
Waipa serikali siku tatu kutekeleza madai ya madaktari
Wasema kama haikufanya hivyo wataungana nao
Tucta yataka kima cha chini Sh. 500,000 kwa mwezi
Mgonjwa aliyevunjika nyonga, Anna...
Waziri mdogo wa elimu Ndg. Mulugo amevunja sheria ya mtoto inayotamka wazi kuwa elimu ya shule za msingi ni bure!
HEBU SOMA HAPA:
Waziri abariki michango shule za msingi...
Jana majira ya saa mbili kasoro usiku pale Sanawari kwenye taa.
Palitokea ajali ya pikipiki Toyo kuikatizia gari aina ya Fuso na dereva toyo kufa palepale na isitoshe ile pikipiki kukanyagwa na...
Wandugu,
Nimehabarishwa na mdau mmoja aliyepo Shinyanga Mjini kwamba Rais mtarajiwa mheshimiwa sana Edward Lowassa ameandaliwa mapokezi mazito leo hii Mjini Shinyanga ikiwa ni maandalizi ya...
Mtu yeyote kuiongoza, bila kujali umri wala elimu. Nipo hospitali hapa, mapokezi na kwenye makoridor hamna wagonjwa, wameamua kubaki nyumbani au kutibiwa hospitali binafsi bila manung'uniko kwa...
Mavazi kama ilivyo ngoma,vyakula,lugha mila na desturi nk ni moja ya tamaduni za taifa au jamii yoyote.Huzuka kutegemea maendeleo ya kiuchumi, kimazingira,kijamii. hayatungwi wala hayapangwi...
Mi nashangaa hawa watu wanajifanya taaluma zao ndo muhimu saaaaana kuliko watu wengine!!!!
hakuna kitu kama hicho bana, kila mtu anaweza kusomea udaktari lakini tukifanya hivyo nani atakuwa...
Habari Zenu Wanajamvi.
Jana majira ya saa mbili na nusu usiku, nilimsindikiza shangazi kupanda daladala kutoka Usa-River kurudi kwake mjini. Daladala walopanda ni ya kawaida sana yenye kupiga...
Jamani, hivi huyu makamu wa rais katika misafara yake yote ya kikazi mikoani na nje ya nchi, kuongozana na wake zake wawili, hii imekaaje ki-protokali? Maana isiwe ni ile ile kawaida ya viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.