madaktari kusitisha huduma za dharura

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
kutokana na amri ya waziri mkuu hatimaye madaktari wamedhamiria kuongeza makali ya mgomo.kwa kusitisha huduma za dharura.hii ni hatari kuliko ilivyofikiriwa.
 
Kwa hiyo Pinda ameshindwa kutatua tatizo hili?
He can't be serious hakianani.
 
mkulu yuko davos-addis.................. anafafanua how tz is manufacturing teachers............... jaribu kuwa wavumilivu wakuu..................... the gov will come to you shortly.................
 
tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...................

mtatuumiza watanzania wenzenu jamani, wao wanatibiwa India!!!
 
Hima WaTZ,hatuna njia ya kuiambia serikali ikae na hawa jamaa ili wamalize huo mgomo?.Kama hakuna namna basi tukae kimya na kuangalia hiyo sinema litakapoishia.
 
pinda anamsikiliza kwa mkuu wake na mimi i answer to the emergecy comitte tuliuyoichagua kusimamia suala hili....as far as am concerned kesho mkutano hupo na nitahudhuria,wanifanye watakavyo...solidarity forever
 
yn bora 2fe kuliko mrudi kazin ndg zangun!kwz nashangaa hvi vyama vingine vya wafanyakaz cjui viongoz wamelogwa au nn!?km walimu hta jinsi ya kudai maden yao hawawez sa hak zao nyingne c ndo balaa!Shame on u CWT. . . . .!
 
Wananchi tushikamane tuandamane na mabango ya TUNATAKA HUDUMA ....... serikali itajua itafanyaje! Sisi hatujui ugomvi wao na madaktari tunachodai ni huduma kwani si tunakatwa kodi kwa ajili ya huduma hizi?!
 
miafrika ndivyo tulivyo source NN
mitanzania ni mioga kama mikunguru.
 
naona mheshimiwa mizengo pinda anaelezea yaliyojiri.naona kuna watu wengi tu wanamsikiliza sijui tutegemee suluhu au ni kikao tu??ni TBC one wadau.ni historia yote since kuanza kwa mgomo wa madaktari.hii kitu sasa sijui inaenda wapi!
 
Kuna umuhimu wa sisi wananchi kutoka na kudai haki yetu ya huduma kutokana na kodi zetu tunazolipa badala ya kushangaa shangaa tu wakati ndugu zetu wanaendelea kufa kama mende. Kama serikali imeshindwa kupata muafaka na madaktari waseme hivyo na watueleze kwanini wameshindwa!!
 
tatizo letu ni woga cjui au ndo tumelogwa. Huwa wepesi kulalamika lakini utekelezaji zero.Tunie kwa pamoja....
 
Mi nafkr haya yote, Pinda na Mjomba mmeyataka wenyw! Nch hii inayo pesa, useme akil na ubunifu ndo hakuna! Endelei kuwakumbatia wawekezaj wasiolpa kodi, go on! Ak ya nan 2taisha, plz madokta 2oneeni huruma rudin japo hata kwa shift bac! Pinda atalia et!
 
mara ya kwanza nilivyosikia jk anagombea urais nilifurahi nikijua tumepata comrade kama nyerere,boy was i wrong.akamteua pinda nikajua ccm inajirekebisha kwa kuchagua kiongozi mwenye maadili nikasahau wazungu walishasema birds of the same feathers flock together.....
Wanaua chama chao,wanaua nchi na wanaua wananchi.
 
Kazi ipo!
Kumbe madokta mkiamua mnaweza,kwa hiyo kesho mnasalimu amri au mwendo mdundo?
Ila mkisalimu amri kwisha habari yenu mtakuwa kama sisi walimu ambao tunakuwa manufactured kama maroboti.
Wife anaenda kliniki kesho,na mshahara ushaisha.
 
pinda anamsikiliza kwa mkuu wake na mimi i answer to the emergecy comitte tuliuyoichagua kusimamia suala hili....as far as am concerned kesho mkutano hupo na nitahudhuria,wanifanye watakavyo...solidarity forever

Big up mkuu,tupo pamoja hadi kieleweke....
 
yn bora 2fe kuliko mrudi kazin ndg zangun!kwz nashangaa hvi vyama vingine vya wafanyakaz cjui viongoz wamelogwa au nn!?km walimu hta jinsi ya kudai maden yao hawawez sa hak zao nyingne c ndo balaa!Shame on u CWT. . . . .!

wale ni wezi wa michango ya wafanyakazi...walishanunuliwa na serikari. Jiulize wingi wa vyama hivyo ni kwa maslahi ya nani?
 
Back
Top Bottom