Tawi la ccm lililofunguliwa na nape liko kwenye service road pale imalaseko

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nimeshangaa sana baada ya kuona tawi la ccm maeneo ya imalaseko kwa mashoeshiners ambalo lipo ndani ya barabara, nikashangaa sana kujiuliza hivi nape hajui sheria au sheria haitambulikani unapoongelea ccm?jamani akili zetu tunazitumiaje?magufuli hujaona au kwa kuwa bendera ya ccm inapepea>??tuache ushabiki wa vyama kwenye mambo ya msingi!
 
Back
Top Bottom