Unaposema, Madaktari wameitikia amri ya Waziri Mkuu??? je kuitikia wito ni kuonekana maeneo ya vituo vya kazi?
kuzungumza na wagonjwa,je tuna uhakika gani kuwa prescriptions zinatolewa, na...
wakuu nasikia wauguzi na wahudumu wengine wa afya wameapa kutoshirikiana na "madaktari" kutoka jeshini.huu mgogoro ni mkubwa kuliko ilivyofikiriwa na dalili zinaonyesha hali itakuwa mbaya zaidi...
wakati mtoto wa mkulima miezi miwili iliyopita akiteteta posho za wabunge za shs. 70,000 kwa siku na mshahara wa shs.milioni 7500000 kwa mwezi kuwa hazitoshi leo hii anapata wapi jeuri ya kusema...
Habari wadau wote,
mimi nawalalamikia hawa jamaa wa Dawasco wamekata maji wiki ya pili sasa,na hawajatoa taarifa yeyote na bili ya maji wanaleta kama kawaida,
naombeni muwe mnajali wateja...
Tumeona nakusikia tamko lakiongozi mkuu wa shughuli zote za utawala serikalini akitoa tamko je nini hatima ya madaktari?na mikutano yao imepigwa marufuku!je wewe unaona ninisuruhisho la mgogoro...
Wana jf! Salute kwa wote humu jamvini. Kuna mdogo wangu wa kike kapangiwa Arusha Meru na kaniambia kuna rumours kuwa hela ya kujikimu imepunguzwa kutoka cku 14 hadi cku 7 kama ilivyokua last year...
Hawa Tigo sijui vipi, wamenitumia meseji mara ishirini lakini sijailewa. Nikipiga customer care haipokelewi. Naomba kwa anayeielewa anifafanulie. "YOUR DEBITBALANCE_SUBACCOUNT IS NEARLY RUNNING OUT"
Leo mnamo majira ya mchana mamia ya walimu katika jiji la mwanza wameamua kugoma kufundisha na hatimaye kuandamana kuelekea katika ofisi za halmashauri ya jiji kudai haki zao ikiwa pamoja na...
Habari wanaJF
Najua kwa sasa mawazo yaliyo mengi yameelekezwa kwa mgomo wa madaktri
lakini nawaomba muelekeze macho yenu kwenye hili swala la kupanda kwa gharama
za umeme, Kwa muda wa wiki mbili...
Nimenunua airtime ya vodacom kwa m-pesa kutoka mkoani huku na hakuna vocha za karatasi karibu. Nimeangalia salio m-pesa wamepunguza kiasi nilichonunua airtime lakini kwenye line ya simu ni masaa...
kila mtu anajua CCM ni chama cha kifamilia...kuanzia Nyerere mpaka huko visiwani
swali langu je, CHADEMA nao upuuzi huu wanao au wao wako beyond politics za kifamilia kama CCM?
kama hawana...
Nmefika maeneo ya Tazara naona misururu ya magari ya FFU yamejaza maaskari,na magari ya kuwasha
wakielekea mjini,au ndio wanawafuata madaktari wetu nini!!
PASCO NJOO UWATETE WAANDISHI WENZIO HAPA
ukweli ni kuwa timu nzima ya GAZETI LA TANZANIA DAIMA :
1. Hawajui mji wa Davos uko wapi
2. Hwajui namna ya ku spell QATAR
3. Hawafanyi proof reading...
Ndugu zangu nimejaribu kuyaweka mapungufu ya utawala huu kwenye makundi (classes)ili kuweza kupata definition nzuri ya serikali ya TZ.Ukiangalia kwa makini mafungu haya inapoangukia serikali hii...
wakuu kuna habari kwamba viongozi wa madaktari katika hospitali za Dodoma na Ifakara wameitwa kwa OCD.bado wapo kwenye mahojiano.kama serikali ina madaktari wa jeshi kwa nini serikali...
Wanabodi naanza na angalizo!.
Kama wewe hujui chochote kuhusu " will power" na "faith healing" nakushauri jisomee tuu na usichangie kitu ili nawe sasa uelimike!.
Mgomo huu wa madakitari...
Unaweza hisi hii nchi ni zaidi ya jehanum jamani basi tu tunapata kauwezo cha kununua ugali na mkate jamani
mkurugenzi wa wa tbs amekoswa koswa kuchapwa ngumi na mbunge mmoja kwenye kamati ya...
watu wengi wanasiasa,raia wa kawaida wamekuwa wakipokea simu au message za vitusho kutoka kwa number zisizo julikana
tumesajili number lakini haisaidii. Hata kipindi cha uchaguzi zulitumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.