Siku chedema ikichukua nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku chedema ikichukua nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gwandalized, Jan 30, 2012.

 1. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  natamani sana niwe hai siku chadema ikichukua nchi hii,nishuhudie yafuatayo
  1.hakuna UFISADI kabisa
  kila sheria itafuatwe,mesheni town zote zifungwe,short cut zote zifungwe tushuhudie mafisadi wote wakiburuzwa mahakamani
  2.Migomo yote kwishney
  mishahara yote juu,madokta,walimu,migomo yote ndotoni,posho za maofisi zifungwe
  3.maisha bora
  kila mtaanzania atakuwa katika nyumba nzuri, shule kibao,mfuko wa cement buku 5 tu,shuleni walimu,vitabu kibao,elimu bora kwa kila mwanafunzi,umeme bei poa,mafuta bei poa
  kila mwanafunzi atafaulu,mikopo chuo ya kufa mtu,elimu bure
  4. Usafiri
  mpaka kule kwetu mbwinde lami tupu,nauli bei chee,ndege za serikali kibao,treni za uhakika,rais haendi nje

  chadema oyeee
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hicho chama ni lazima kijisajiri kwanza ili kiweze kuchukua nchi, vinginevyo hizo ni ndoto za alinacha
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160


  Kweli jf imevamiwa! Sidhani kama GT anaweza kuwa na mawazo ya kijinga nanna hii! You are in a wrong place sister!
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Gwandalised... Naomba nitoe pole kama una hopes hizo hapo ulizoorodhesha. Ni kweli unafuatilia jinsi hali halisi ya Kisiasa na Uongozi katika kila nyanja na kila sector yenye mahusiano moja kwa moja na serkali? Kama kweli wafuatilia utatambua kua Uongozi ujauo, uwe umetoka CCM ama CDM wana kazi kubwa saana na ya ziada kuweza kweli kurudisha inchi katika mstari. Hayo mambo sio ya siku moja na wala sio ya mwaka mmoja. Tanzania tuna hali mbaya mno, na hio hali haitaondolewa na uongozi tu! Let alone uongozi mpya, Watanzania inabidi watambue kua they are part of change, na hio change itakua possible pale tu watapo jihusisha... hio ikiambata na time.... Hayo hulioorodhesha hayawi controlled na the name of the Government/leadership in question. Bali yanakua controlled na the will and ability ya Viongozi wa juu, wa kati, wa chini na wananchi wake.... Tanzania; We have a long way to go....
   
 5. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  We ndo hamnazo kuliko magamba yote
   
 6. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Naamini hizi ni kejeli.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Chademu haina ubavu huo, keep on dreaming.
   
 8. Kaliua urambo

  Kaliua urambo JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndoto zinakudanganya
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Doing all these things need years
  But for now on we need at least another part that can build the foundation to those mentioned achievement
   
 10. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  lets hope, hata mimi natamani
  najua ipo siku ambayo hakuna aitarajiae lakini ipo
  chadema watachukua nchi
  watu wote watabaki midomo wazi kama vile wanajivua magamba
   
 11. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jibu hoja spelling error kidogo unaingia chaka
   
 12. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sisi tunaimani nchi itanyooka uwajibikaji utakuwepo kwa hali ya juu
   
 13. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hakuna kejeli ndio sisi wananchi tuna amini hivyo
   
 14. u

  uwingu Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gwandalized; Naomba nikuhakikishie kwamba kuota ni haki ya msingi. Unafanya vema kuitumia. Kwa bahati nzuri si kila ndoto huwa kweli. Thank God it won't happen. You can keep on dreaming dear.
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Wenye chuki na cdm wajinyonge" BRAVO CDM.
   
Loading...