Asha Rozi Migiro na ushoga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asha Rozi Migiro na ushoga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nikupateje, Jan 29, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ban Kimoon kaamua kuweka wazi matakwa ya taasisi yake kuwa ushoga utambuliwe katika nchi za Africa kwani wamechoka sasa na msimamo wa miaka mingi wa Africa kutotambua haki za mashoga.

  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/217567-african-union-ban-ki-moon-urges-respect-for-gay-rights.html

  Sikubaliani na ushoga lakini nampa pongezi Ban Kimoon kutokuwa mnafiki kwa hilo ambalo ni dhahiri linalosimamiwa na taasisi yake.

  Ban Kimoon amekuwa bosi wa Dr. Asha Rozi Migiro kwa miaka kadhaa katika hiyo taasisi yake. Tuliposhangilia Migiro kupata post ile basi haya anayotamka bosi wake ndiyo yaliyotakiwa yasisitizwe na taasisi nzima ambayo Migiro ni second in command.

  Sijawahi kusikia waandishi wakimuuliza Dr. Asha Migiro kuhusu ushoga ambao bosi wake leo kaamua kutupasulia jipu. Mimi nadhani huu ni wakati wa waandishi wambane huyu mama tujue utekelezaji wake lilipokuja suala la ushoga kwenye kipindi chote alichokaa na Ban Kimoon na taasisi yake.

  Ieleweka kuwa kumwuliza Dr. Asha Migiro si kumdhalilisha kwani hata Waziri Mkuu ameulizwa swali hilo bungeni akajibu kuwa "hata wanyama hawafanyi hivyo".

  Hivyo thread yangu nategemea idumu.
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wanyama hawafanyi kwa sababu wanajua sio asili- nature ambayo Muumba aliwapa viumbe wake ili wafurahie muungano wa ..ke na ..me katika kusex. Je tuseme hata wanyama wanatuzidi- wanadamu katika utambuzi wa mipango ya Muumba na viumbe? Au tuseme mwanadamu ni mwerefu zaidi....
   
 3. M

  Makupa JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mods ondoeni hii thread inachochea tabia ya ushoga
   
 4. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,784
  Likes Received: 593
  Trophy Points: 280
  may be this might be a reason kwa Dr ASHA-ROSE kupigwa chini katka UN kwani mataifa makubwa wameifanya UN kua km vile TAASISI yao so wanachokitakata wanataka kiwe imagine ilianza nchi ya UINGEREZA tukawakatalia almost nchi zote za AFRICA zilikataa one month later MAREKANI nae akasisitiza still tukiwashangaa ndo kwanza baadhi ya nchi za AFRICA zikawa na michakato ya kutunga sheria kali dhidi ya USHOGAna USAGAJI.Sasa wamekuja na mkakati mwingine wa kutumia UN ambayo ni umoja wa mataifa kwa mashinikizo ya UK na US kwanini wasiende ISRAEL,IRAN wakawaambie mambo km hayo....nadhani hapa MIGIRO hakufiti that's why......mbona huyo BAN KI MUN asiende kwao KOREA YA KUSINI akapeleke ushetani huo...
   
 5. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  labda ni moja ya sababu zilizomfanya mama kuomba kupumzika mambo ya ushoga pengine yamekuwa magumu kwake na kwa imani yake.
   
 6. Raia Mwema

  Raia Mwema JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati mwingine hata hizi sheria za nchi ikiwemo Tanzania sio lazima zikidhi matakwa yako na ya imani yako jambo la msingi ni je mama amewahi kutekeleza au kukidhi haja ya sheria hiyo akiwa UN. kwa mfano, Nguruwe ni haramu kwa waislam lakini anafugwa nchini huwezi kumuuliza Ally hassan mwinyi ulitekeleza vipi au ulizuia vipi ufugaji wa nguruwe ukiwa mwislamu. Mwinyi atajibu binafsi sikuwahi kufuga nguruwe kosa langu liko wapi?
   
 7. k

  kiche JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Si sababu,ushoga huo ulikuwepo hata kabla ya yeye kuingia UN,mama amepigwa chini tu tusimpe umaarufu asionao.
   
 8. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,136
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Kama akiulizwa jibu lake lina faida gan kwa Taifa?
   
 9. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Wanaochochea ushoga ni wale wanaoshindwa kuupinga palepale mbele ya David Cameroon na Ban Ki-Moon wanasubiri kuupinga kwenye airpot lounges wanapofika homeland.
   
 10. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ndg zangu adhabu ya MUNGU kwa
  anaefanya kitendo hicho, ni dhabi ya mauti. Kama ulisha wahi kufanya anza kuomba msamaha adhabu yake inaanzia duniani unamaliziwa huko kwa GOD!
   
 11. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Mimi nadhani ushoga ni aina ya tatizo la akili ,angalia mashoga wengi jinsi vichwa vyao(shepu) na uso vinavyo onekana, kidogo vinataka kukaribia mtu mwenye tatizo la akili .
   
 12. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Na uzinifu je?
   
 13. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Afu hamkawihi kujiita GREAT THINKERS. Asha Migiro anahusiana nini na matamko ya Ban Kmoon. Maneno aliyosema Ban Kimoon ni kurudi Tangazo la Umoja wa mataifa kuhusiana na haki za binadamu, The Universal Declaration of Human Rights.

  Article ya pili ya tangazo hili inasema:
  • Everyone is entitled to all the rights and freedoms set forth in this Declaration, without distinction of any kind, such as race, colour, SEX, language, religion, political or other opinion, national or social origin, property, birth or other status. Furthermore, no distinction shall be made on the basis of the political, jurisdictional or international status of the country or territory to which a person belongs, whether it be independent, trust, non-self-governing or under any other limitation of sovereignty.
  The Universal Declaration of Human Rights

  Azimio hii lilitungwa 1948 kabla Asha Migiro hajazaliwa. Mwaka 1984 serikali ya Tanzania ilifanya mabadiliko ya kikatiba na kutambua haki za binadamu. Soma kipengle hiki chini:
  • (9) Lengo la Katiba hii ni kuwezesha ujenzi wa Jamhuri ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar au wa chochote kati ya vyombo vyake na udugu na amani kutokana na kufuata siasa ya Ujamaa na Kujitegemea, amabyo inasisitiza utekelezaji wa misingi ya kijamaa kwa kuzingatia mazingira yaliyomo katika Jamhuri ya Muungano. Kwa hiyo, Mamlaka ya Nchi na vyombo vyake vyote vinawajibika kuelekeza sera na shughuli zake zote katika lengo la kuhakikisha-
  • (a) kwamba utu na haki nyinginezo zote za binadamu zinaheshimiwa na kuthaminiwa;
  • ---
  • (f) kwamba heshima ya binadamu inahifadhiwa na kudumishwa kwa kufuata Kanuni za Tangazo la Dunia kuhusu Haki za Binadamu;
  Hiyo hapo juu ni katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, SEHEMU YA PILI: MALENGO MUHIMU NA MISINGI YA MWELEKEO WA SHUGHULI ZA SERIKALI, Ibara ya 9, Kipengere (f).

  Mambo aliyosema Ban Kimoon kulinda haki za mashoga yanakubalika na katiba ya Tanzania ya mwaka 1984. Na Tanzania ni signatory wa Tamko la Haki za Binadamu. Hivyo mnavyompinga Ban Kimoon na Mama Asha Migiro ni kutotumia akili kwa sababu serikali yenu ilikubali hayo.

  Tumie akili na sio kutoa hoja kwa hisia.

  Wenu

  Za10
   
 14. a

  assuredly4 JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 1,215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
   
 15. Watunduru

  Watunduru Senior Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nguruwe si haramu na hakuna kitabu hata kimoja kinachosema hivyo,mungu hajaumba haramu bwana,haramu ni kula nyama ya nguruwe kwa sababu ina vimelea vyenye madhara ktk mwili wa binadamu.
   
Loading...